Ushauri tafadhali wakuu

Kwa kuwa umepima na umesalimika upo HIV negative, nakushauri achana na ngono zembe, tafuta mwanamke mmoja pima nae, akiwa yupo salama kuwa nae huyo huyo mmoja mwaminifu, kijana wa 30 years ni nguvu kazi ya taifa, usichezee afya yako kizembe!

Ukishindwa kuwa na mmoja mwaminifu, tumia kondomu kwa kila tendo, UKIMWI upo na unaua na kuangamiza!
Papuchi moja haitoshi mkuu
 
Back
Top Bottom