Ushauri tafadhali wakuu

Onguluo

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
406
115
Nilikutana na mrembo mmoja disco vumbi akiwa stejini anasakata rumba kama kawaida mzunguko mwenye dau kubwa ndo anacheza na demu, nikakata mshiko pale nikaanza kudansi na mrembo huyo huku nachana mistari demu akaeleweka nikaupua mzigo hadi gheto nikala mzigo hadi saa kumi na moja asubuhi nikamutoa akaondoka zake mapema. kumbe huyo demu alichukua namba yangu kwenye simu bila mimi kufahamu.

Baada ya mwezi mmoja simu yangu ikaiita kucheki naona namba ngeni nikapokea kwa kujiamini, akasema mpenzi habari za siku nikamuuliza wewe nani unaitaita watu wapenzi? akajibu akisema mi Loveness uliyemchukua disco tukaenda kwako kulala, eeh unasemaje sasa, eti mimi nina mimba yako mwezi ulopita sikuona siku zangu, halafu ujue mimi ni mwanafunzi kidato cha pili nipo shuleni sasa hivi kwahiyo nimeona nikujulishe kinachoendelea, kidume nilichokaje na akazidi kusisitiza kama huamini nije tukapime.

Nikamuuliza disco ulitafuta nini kama wewe ni mwanafunzi, nikamuambia nitolee ujinga wako hapa huo upuuzi sitaki hata kuusikia na kukata simu kwa hasira.

Sasa wakuu mimi nifanye hapo na mazingira hayo, naombeni ushauri wenu.
 
Asa mkuu we demu umekutana nae siku moja na unaenda kutembelea ringi?! ..........

Grand PA
 
Onguluo

Watu kama wewe mpo wengi sana kwenye hii dunia elimu huna umetoka kwenye broken family unakwenda disco unachukua demu hujatumia hata kinga.Huyo mwanafunzi ana umri gani?
 
Last edited by a moderator:
Unakutana na mtu mazingira tatanishi unamuopoa kwa urahisi unaenda unalala nae kavu kavu unategemea nin subir miez mitatu ukapime na ukimwi na maradhi ya zinaa hili ndo kubwa nataka kukusaidia jingine sijaliona
 
Usijali jela ni miaka 30 ila sheria za jela ni nzuri sana siku moja ni masaa 12 hivyo utakaa jumla ya miaka 15
 
Watu kama wewe mpo wengi sana kwenye hii dunia elimu huna umetoka kwenye broken family unakwenda disco unachukua demu hujatumia hata kinga.Huyo mwanafunzi ana umri gani?

Hebu nambie hapo umaskin utaisha kweli...matatizo juu ya matatizo..duuh
 
Kawaulize wenzako kwenye disco la vumbi. Hapa hakuna aliye somea hayo mambo
 
Hapo huna kosa.......maana hukuona ikiingia.........
mimba zote zinazoingia ndani ya binadamu huonekana..........chekeleke........
 
Hebu nambie hapo umaskin utaisha kweli...matatizo juu ya matatizo..duuh

Huyu kijana atakuwa MC wa Mbowe kwenye disco lake.Shule hajakwenda anataka wanawake hata hela ya kuja hapa JF mpaka ende disco tatizo kwa taifa
 
Hiv kweli mjinga kma hyu anaweza kutufanya tutmie muda na bando ztu,kujadil upuuzi huu.Thread kma hiz tuwe tunaztizama tu with no comment,huenda wakashtuka kuwa wameandka utumbo wa kuku.
 
watu kama wewe mpo weng afu ujue kuna njia nyng sana za kuzuia mimba kama unaona aibu kuwauliza vijana wenzako tembelea jamiiforums.com au google.com then uliza maswali yako hapo yote yatajibiwa kwa ufasaha...nenda na wakati bwana punguza ongezeko la watoto wa mitaani
 
Bora kakupigia ana mimba,,,, je angekuambia ana ngoma,, ungepata muda wa kuandka jf,,,, anza kuimba nyimbo za maombolezo mwenyewe,,,,
 
Back
Top Bottom