Yeyote anaetoa pesa kwa simu ni wewe hatakama anaetoa mkeo au rafiki Yako muhimu number ya Siri, so inahesabika umetoa number ya Siri na ulifanya hivyo yeyote anaweza toa au kukopa pesa sababu ni number Siri imekuwa number ya public.
Unadhani number ya Siri iliwekwa kuwa na umuhimu Gani zaidi ya kurahisisha utoaji wa pesa iwe bank au mitandao ya simu hatakama utaitwa kuulizwa taarifa zako muhimu bado itatia shaka zababu taarifa hizo ziko wazi hivyo number ya Siri ndo kipengere cha mwisho.