Msaada tafadhali juu ya hii tecno n3 haipokei automatic feedback text toka vodacom

Msaada tafadhali juu ya hii tecno n3 haipokei automatic feedback text toka vodacom

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
1,107
Reaction score
482
HESHIMA KWENU WANAJAMVI

NIPO NA KAMCHINA KANGU TECNO N3 NI KAPYA KIDOGO KANA KAMA WIKI 2 HIVI,

SHIDA KUBWA NINAYOPITA NI KUWA SIPATI AUTOMATIC TEXT TOKA VODACOM MFANO LABDA KAMA NIMEULIZIA SALIO HIVI LA MPESA, AU MPESA YENYEWE KAMA NIMEWEKA PESA TOKA KWA WAKALA (KUNIJULISHA KWAMBA UMEONGEZA LABDA TSH.. KUTOKA KWA...), AU NIMEMTUMIA MTU PESA AU NIMENUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA MPESA, SIPATI TEXT YOYOTE YA FEEDBACK TOKA VODACOM.. WAKATI MWINGINE NIKIFANYA HIZO PROCESS NAPATA TEXT HII


SORRY ! The application Messages (process com.adroid.mms) has stopped unexpectedly. Please try again

NIKIJARIBU TENA, KUNA WAKATI HATA HIYO TEXT HAITOKEI TENA, KWA HIYO KAMA NIMETUMA PESA, PESA INAKWENDA, AU KAMA NIMENUNUA MUDA WA MAONGEZI NAFANIKIWA, NIKIANGALIA SALIO LA KAWAIDA UNAONA LIMEONGEZEKA ILA SASA KUPATA ZILE AUTOMATIC TEXT TOKA VODA NDIO SHIDA.

MSAADA KWENU TAFADHALI
CC, CHIEF MKWAWA, C6,Paje

NIMEJARIBU KUFIKA VODACOM SHOP WANANIAMBIA KUA.. NITOE BETRY LA SIMU IKIWA ON THEN NIRUDISHIE HILO TATIZO LITAJISOLVE, NIMEFANYA HIVYO MARA KADHAA LAKINI HAKUNA MAFANIKIO

MSAASA KWENU TAFADHALI WANAJUKWAA, KWA LINE YA MTANDAO MWINGINE INALETA HIZO FEEDBACK TEXT ZOOTE
 
Eistein Pole kaka, hapo inaonekana kuna kuwa na time out pale unapokuwa unasubiri majibu ya ujumbe.
sasa cha kufanya hapo ambacho nadhani kitakusaidia ni fanya Backup ya contacts zako, hakikisha vitu vya muhimu viko vizuri kisha toa memorycard na baada ya hapo restore simu yako back to factory hapo itasaidia ilo tatizo kuondoka.

Ukifanikiwa niambie:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
eistein pole kaka, hapo inaonekana kuna kuwa na time out pale unapokuwa unasubiri majibu ya ujumbe.
Sasa cha kufanya hapo ambacho nadhani kitakusaidia ni fanya backup ya contacts zako, hakikisha vitu vya muhimu viko vizuri kisha toa memorycard na baada ya hapo restore simu yako back to factory hapo itasaidia ilo tatizo kuondoka.

Ukifanikiwa niambie:a s 39:

dahh nashukuru mkuu kwa ushauri nitaufanyia kazi muda mfupi ujao then nitakujulisha

asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom