Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mwanzoni mwa mwaka huu, kaka yangu mpedwa kafugwa jela miaka 30 kwa kosa ambalo si vyema kuliweka wazi hapa jamvini.
Kaka alikuwa anauwezo kiasi fulani lakini kesi na muda aliokaa mahabusu ulimaliza pesa zake sana. Baada ya kuwa amehukumiwa ameiacha familia yake katika mazingira magumu. Nilicho fanya ni kumpa uwezo mke wake kaka yangu ambaye ana watoto naye 3.
Pamoja na yote nimekuwa natoa matumizi ya shule kwa watoto zangu. Ili mpaka hapo mama yao atakapo kuwa amesiama vyema nipunguze support.
Sasa kibembe ambacho kimenitokea jioni ya leo hii ndio hasa dhumuni la kuomba ushauri nifanyaje. Shemeji ameniambia anashukuru kwa kumjali na kujali familia yake. ila simtimizii haja zote kwa hiyo nani ampatie. Anamaanisha mambo yetu yalee, jamani simuelewi.