Ushauri tafadhali, shemeji yangu simuelewi elewi

Ushauri tafadhali, shemeji yangu simuelewi elewi

Naona sasa umefka wakati serikali kufikilia kupnga siku maalum za wafungwa kukutanishwa na wapendwa wao wapeane huduma zilizo za msingi..
 
Mkuu usijalibu kumgegeda mke wa kaka yako..ni dhambi na hyo chuki na vita baina yenu siku akisikia haitaisha..cha msingi fanya yako ila la msingi zaidi ni PM number ya shemeji yako nianze kumgegeda na kumsaidia majukumu na kukushushia ww mzigo..
 
Mwanzoni mwa mwaka huu, kaka yangu mpedwa kafugwa jela miaka 30 kwa kosa ambalo si vyema kuliweka wazi hapa jamvini.

Kaka alikuwa anauwezo kiasi fulani lakini kesi na muda aliokaa mahabusu ulimaliza pesa zake sana. Baada ya kuwa amehukumiwa ameiacha familia yake katika mazingira magumu. Nilicho fanya ni kumpa uwezo mke wake kaka yangu ambaye ana watoto naye 3.

Pamoja na yote nimekuwa natoa matumizi ya shule kwa watoto zangu. Ili mpaka hapo mama yao atakapo kuwa amesiama vyema nipunguze support.

Sasa kibembe ambacho kimenitokea jioni ya leo hii ndio hasa dhumuni la kuomba ushauri nifanyaje. Shemeji ameniambia anashukuru kwa kumjali na kujali familia yake. ila simtimizii haja zote kwa hiyo nani ampatie. Anamaanisha mambo yetu yalee, jamani simuelewi.

Msaada ulioutoa unatosha sana, hayo mengine kama walivyosema wadau walionitangulia, atasaidiwa na wengine!
 
Mkuu nakushauri acha hizo fikra za kumgegeda shemeji yako, Cha msingi endelea na huduma nyingine ila kwenye kugegeda c vyema. Kumbuka huyo ni shemeji yako na hakupenda iwe hivyo cha msingi ww unaishi wapi na shemeji yako anaishi wapi nije kuwatembelea. Niwasalimie na nimjue shemeji
 
mpotezeee atapata mwanaume mwingine wa kumgegeda,syo viizuri hasa kwa kaka yako wa damu!!
 
Sijamjibu kitu, nimepiga kimya tu.
Kuna mawili, mruhusu agegedwe nje, au kama una ka-wivu, chukua wewe, lakini ukumbuke kuwa uhusiano wako na kaka yako utaishia hapo, kwa sababu lazima atakuja kubaini.
 
\Mkuu hapo naamini wewe una mchumba mtarajiwa na una matarajio ya kuwa na familia yako
kaka yako tayari ana watoto watatu na huyo mwanamke na sidhani kwa hali ilivyo ungependa wewe uingie kwa mke wa kaka yako au uendeleze familia ya kaka yako ila ungependa zaidi wewe uoe na uwe na familia yako
Heshimu mipaka yako kama mdogo wa kaka yako na shemeji kwa huyo mama
Kama una msimamo na mpango wa kuanzisha familia yako heshimu hilo na mwambie wazi kabisa natoa msaada kama mdogo mtu na kwa ajili ya watoto wa kaka yangu na kuhakikisha wewe unasimama kuweza kuisimamia familia yako na baada ya hapo ni lazima wewe kama wewe usimamie familia yako
Msaada unaotoa ni kwake kuweza kusimama na sio kutaka wewe uchukue nafasi ya kaka yako
Imagine may be kaka yako akatoka kwa msahama wa rais na akukute wewe umechukua nafasi yake na umelala na mke wake ni nini kitampata au hata wakati unaenda kumtembelea uende na mke wake tumbo hilo au ana mtoto wa nne na anaambiwa wazi ni wa mdogo wako huoni kuwa litamuumiza sana kaka yako
japo sheria ya ndoa inaryuhusu mwanamke kuolewa iwapo mume atafungwa kifungo kirefu sana usiruhusuliwe kwako labda useme huna tena mpango wa kuoa na utaichukulia familia ya kaka yako kama yako na kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wako

Umemweleza yote, kama ana masikio amekusikia ama la kama ameyakalia masikio, basi tena! Kiukweli umempa ushauri usio na doa kabisaa, big up!
 
Karug asante sana mkuu nashukuru kwa kuukubali ushauri wangu
 
Last edited by a moderator:
C vizuri akamuingilie shemeji yake amwache
akatafute wa kumwondolea hisia zeke
pia nadhani huyu mwanamke mwenzangu hakutafakari vyema
kumtamkia shemejie mambo km haya

Mkuu bado mambo ya kurithishana yanaendelea
Swali muhimu wewe je umeoa kwanza au bado halafu ushauri ufuate
 
Hapa sasa nimekuelewa

\Mkuu hapo naamini wewe una mchumba mtarajiwa na una matarajio ya kuwa na familia yako
kaka yako tayari ana watoto watatu na huyo mwanamke na sidhani kwa hali ilivyo ungependa wewe uingie kwa mke wa kaka yako au uendeleze familia ya kaka yako ila ungependa zaidi wewe uoe na uwe na familia yako
Heshimu mipaka yako kama mdogo wa kaka yako na shemeji kwa huyo mama
Kama una msimamo na mpango wa kuanzisha familia yako heshimu hilo na mwambie wazi kabisa natoa msaada kama mdogo mtu na kwa ajili ya watoto wa kaka yangu na kuhakikisha wewe unasimama kuweza kuisimamia familia yako na baada ya hapo ni lazima wewe kama wewe usimamie familia yako
Msaada unaotoa ni kwake kuweza kusimama na sio kutaka wewe uchukue nafasi ya kaka yako
Imagine may be kaka yako akatoka kwa msahama wa rais na akukute wewe umechukua nafasi yake na umelala na mke wake ni nini kitampata au hata wakati unaenda kumtembelea uende na mke wake tumbo hilo au ana mtoto wa nne na anaambiwa wazi ni wa mdogo wako huoni kuwa litamuumiza sana kaka yako
japo sheria ya ndoa inaryuhusu mwanamke kuolewa iwapo mume atafungwa kifungo kirefu sana usiruhusuliwe kwako labda useme huna tena mpango wa kuoa na utaichukulia familia ya kaka yako kama yako na kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wako
 
Wakati mwingine hua nafikiri wazee wetu walikuwa na FIKRA PEVU kutushinda. Mimi katika maamuzi huwa napenda kuangalia ''Stuation na condition''. Kuliko kuzalisha watoto wa mitaani bora uwe nae. Malezi ya watoto ni zaidi ya karo na huduma zingine. Wanahitaji mtu wa kuwatia moyo na kuwafariji, hata huyo shemeji yako.
 
Timiza wajibu wako kwa kuwahudumia watoto na mama yao,usijaribu kumpa shemeji yako huduma ya kimwili,mwache aipate kwa wengine kama hawez kuvumilia,inawezekana timiza wajibu wako
 
mtengenezee mazingira mshikaji wako, afu wewe potezea kama hujui kilichotokea
 
bro wako atoki leo ww kula mzigo...hata akija kutoka uwenda utakuwa ulisha kufa au hata yeye anaweza fia gerezani
Kula mzigo tunza familia mali isitoke nje
 
Viongozi mim naona hamnashida kumliwaza shemeji yake, mjue miaka 30 nisawa na kifungo cha maisha kwamagereza yetu ya Tz. Labda msamaha umkute, mm kama ningekuwa kk hatakama nikitoka jela sita jali.
 
Mitihani hiyo kamanda mi nafikiri ni suala la kujadili kifamilia maana
lazima mambo ya kifamilia yawe siri,,,
Na yeye ameamua kukuambia wewe akijua kwamba unaweza kuwa mtu wa karibu ambaye utatunza siri na kulinda heshima ya familia yenu,,,
Sasa hivi kuna magonjwa mengi kuwa makini na hilo suala unaweza kuchelewa akapita shetani baadae ukajarudi nyuma ukiwa umechelewa,,,,,
pole kwa mkasa huo
 
Da duniani kuna mambo! Kama una hudumia toa huduma zote za kiroho na kimwili! Miaka 30 ni mingi km umeoa ni lazma mkae kikao ili ukoo ukupe ridhaa ya kumtunza shemeji km hamtofanya hivyo ni wazi shemeji yako ataolewa na kukuachieni watoto! Ndo maana mababu zetu walirithi wajane kuepuka mwingiliano! Kaka yako hata km atakasirika anajua kabisa mke hawezi kukaa miaka bila kugegedwa ss si bora umgegede ww unaejali kuliko lijamaa! Suala la urithi wa majane lipo na linaendelea tatizo wajane hawapewi nafasi ya kuchagua nani amrithi lkn km shem ameridhia tatizo halitakuwepo atakutunzia siri ila hakikisha haumzalishi tena!
 
Back
Top Bottom