Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Ndugu zangu yapata miezi kama mi 3.5 hivi iliyopita nimeopoa bonge la mpenz. Mzuri ana mvuto wa nguvu na mkali kwenye kila idara hadi story zinapanda mwanzo mwisho. Financially independent e.t.c
Issue kubwa niliyonayo ni kuwa mpenz mwenyewe ni kicheche. Yaani ana historia ya kupitiwa na wanaume wengi huko nyuma. Hili halifichiki kwani mimi nalijua na yeye pia anajua kuwa najua. Kinachonikosesha usingizi jamani ni kuwa huyu mtoto kiukweli nampenda lakini je kweli anaweza tulia? Tabia yake ya nyuma inanifanya nisiamini lolote analoniambia yaani najihisi ni mmoja katika orodha ya wengi watakaofuata.
Matatizo mengine ni kuwa kanizidi karibia kila kitu. I mean nikijiangalia kwenye kioo najiona mbaya tuuuuuu alaf nikimuangalia mwenzangu kila ninapokua naye najiona kabisa hatuendani ingawa yeye anasema ananipenda then again wangapi wamesha ambiwa wanapendwa na huyu b4 me.
Mfano Juzi (Saturday) nlienda naye kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu nikamtambulisha kama mpenz kwa watu ninaofanya nao kazi. Workmates wangu wote wakaanza kunimwagia misifa jinsi mtoto alivyo bomba. Karibia kila anayenijua (ikiwemo walio ma handsome zaidi yangu) wakawa wananiuliza nimempataje n.k. Boss wangu ndo kabisaa kaja na mkewe lakini wakati wa kucheza akaja mnyanyua mpenz wangu wakawa wanacheza huku wanapiga story na kucheka kwa furaha.
Yaani hata tukitoka Out najikuta tunatumia Gari yake (Nzuri kuliko yangu na ina A/c) kitu ambacho yeye anapenda. Mshahara wake ni zaidi ya ule wangu hadi nyumba tunazokaa yake nzuri zaidi. I keep asking myself will this relationship work?
Kinachonifanya ni hang-on hadi now ni kuwa amenitambulisha hadi kwa wazazi wake na baadhi ya marafiki kama mchumba wake. Ila Dingi mwenyewe alionekana hana time na mchumba wa binti yake. Mama yake naye anaongea naye kama dada yake.
Jamani embu nishaurini ni inferiority complex zangu tuu zinanisumbua ama niumalize tu huu uhusiano? Nimesha present concerns zangu kwake. Yeye akakimbilia kunikabidhi funguo za nyumbani kwake na kusema naruhusiwa kwenda hata saa nane za usiku. Bro alinishauri nimlazimishe anikabidhi simu yake. Nlivyomwambia tu akanipa hakubisha hata kidogo na hivi ninavyoandika hapa ninayo na imekuwa ikiita majina ya kike tuuu toka asubuhi ya leo (sijaipokea). Nime double check kwenye tigo pesa baadhi ya No zinaonekana legit. Kiufupi yuko tayari kufanya ninavyotaka hata gari kasema atapanda langu ingawa kimeo.
Nipo njia panda kumpenda nampenda sana lakini najihisi ntaumia zaidi huko mbele........... Mtu wa aina hii anaweza kweli kuwa a good wife? Niambie nimepotea au ndo penyewe?