USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

Tabia ni kama ngozi huwezi kuibadilishaa...kumbuka usiilaumu kaniki ni rangi yake...kwa hyo historia yake inavyoonekana hawezi kukaa na mwanaume mmoja kwa muda mrefu....jiulize kwanini kawaacha hao wengine na kakufuata ww? sasa hv huyo mpenzi wako anatatizo la kimapenzi linaitwa DESPERATE LOVE dat y ana act hvyo..b careful wit ua decisions!
 
Ndugu zangu yapata miezi kama mi 3.5 hivi iliyopita nimeopoa bonge la mpenz. Mzuri ana mvuto wa nguvu na mkali kwenye kila idara hadi story zinapanda mwanzo mwisho. Financially independent e.t.c

Issue kubwa niliyonayo ni kuwa mpenz mwenyewe ni kicheche. Yaani ana historia ya kupitiwa na wanaume wengi huko nyuma. Hili halifichiki kwani mimi nalijua na yeye pia anajua kuwa najua. Kinachonikosesha usingizi jamani ni kuwa huyu mtoto kiukweli nampenda lakini je kweli anaweza tulia? Tabia yake ya nyuma inanifanya nisiamini lolote analoniambia yaani najihisi ni mmoja katika orodha ya wengi watakaofuata.

Matatizo mengine ni kuwa kanizidi karibia kila kitu. I mean nikijiangalia kwenye kioo najiona mbaya tuuuuuu alaf nikimuangalia mwenzangu kila ninapokua naye najiona kabisa hatuendani ingawa yeye anasema ananipenda then again wangapi wamesha ambiwa wanapendwa na huyu b4 me.

Mfano Juzi (Saturday) nlienda naye kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu nikamtambulisha kama mpenz kwa watu ninaofanya nao kazi. Workmates wangu wote wakaanza kunimwagia misifa jinsi mtoto alivyo bomba. Karibia kila anayenijua (ikiwemo walio ma handsome zaidi yangu) wakawa wananiuliza nimempataje n.k. Boss wangu ndo kabisaa kaja na mkewe lakini wakati wa kucheza akaja mnyanyua mpenz wangu wakawa wanacheza huku wanapiga story na kucheka kwa furaha.

Yaani hata tukitoka Out najikuta tunatumia Gari yake (Nzuri kuliko yangu na ina A/c) kitu ambacho yeye anapenda. Mshahara wake ni zaidi ya ule wangu hadi nyumba tunazokaa yake nzuri zaidi. I keep asking myself will this relationship work?

Kinachonifanya ni hang-on hadi now ni kuwa amenitambulisha hadi kwa wazazi wake na baadhi ya marafiki kama mchumba wake. Ila Dingi mwenyewe alionekana hana time na mchumba wa binti yake. Mama yake naye anaongea naye kama dada yake.

Jamani embu nishaurini ni inferiority complex zangu tuu zinanisumbua ama niumalize tu huu uhusiano? Nimesha present concerns zangu kwake. Yeye akakimbilia kunikabidhi funguo za nyumbani kwake na kusema naruhusiwa kwenda hata saa nane za usiku. Bro alinishauri nimlazimishe anikabidhi simu yake. Nlivyomwambia tu akanipa hakubisha hata kidogo na hivi ninavyoandika hapa ninayo na imekuwa ikiita majina ya kike tuuu toka asubuhi ya leo (sijaipokea). Nime double check kwenye tigo pesa baadhi ya No zinaonekana legit. Kiufupi yuko tayari kufanya ninavyotaka hata gari kasema atapanda langu ingawa kimeo.

Nipo njia panda kumpenda nampenda sana lakini najihisi ntaumia zaidi huko mbele........... Mtu wa aina hii anaweza kweli kuwa a good wife? Niambie nimepotea au ndo penyewe?

mwanamke yeyote anakuwa kicheche kuanzia miaka 20 hadi 30 baada ya hapo anatulia, so huyo mlupo ana miaka mingapi?
 
mwanaume jiamini kama umepmenda uoa tu,sasa unaanza kujiuliza kapitiwa na wengi wewe si ulijua au?wacha uoga wanaume mbele kwa mbele
 
Elewa kuwa shetani akizeeka hugeuka kuwa malaika. Mtwae mpenzio mfanye mke na atakuwa mke bora kabisa. Ameshaamua kutulia acha mawazo mabaya.

Nimemaliza!

Ni kweli. Hilo ni kama vile umekanyaga Ganda la ndizi ni mseleleko tu.. ni vizuri kuwa na mtu ambae ashamaliza ujana wake kuliko ambae bado hajautumia ujana wake kikubwa kupendana kama unavyodai pili jiamini tatu acha ujinga wa kujiita mzuri mara mahamdsome wenzako mara kakuzidi kila kitu mpaka uzuri jiamin eboooo.
 
Huyo atakuwa anataka ndoa maana siku zote hawa viumbe wakiwa wanataka ndoa wako hivyo unless uniambie ameokoka, Maana ni Mungu pekee humbadilisha hata kahaba kuwa mke mwema.
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! IF A LEOPARD CAN CHANGE ITS SPOTS THEN SHE CAN CHANGE!!!!!!!!! That is a ticking bomb! Just a matter of time kabla hujamboa!

Haa haaaaa aren't you a leopard yourself? lol
or a lioness herself?
you do have a mind of a man..trust me...
 
wewe unayachukuliaje maisha?
kama unayachukulia maisha very serious usioe

but kama maisha kwako ni adventure
basi muoe ujionee mwenyewe
usibaki unajiuliza ingekuwaje....
 
mkuu bora huyo unayefahamu alikuwa kicheche ........... ila nakuhakikishia almost all women wa kipindi hiki ni vicheche japo kila mmoja kwa kiwango chake na tunawaoa bila kulijua hilo..............

usipomuoa huyo , usioe kabisa kwani wa sifa tofauti na hizo zake sijamuona........
 
Huenda atatulia maana atakuwa kagegedwa weee asa amechoka na anataka kuolewa!
Ndugu zangu yapata miezi kama mi 3.5 hivi iliyopita nimeopoa bonge la mpenz. Mzuri ana mvuto wa nguvu na mkali kwenye kila idara hadi story zinapanda mwanzo mwisho. Financially independent e.t.c

Issue kubwa niliyonayo ni kuwa mpenz mwenyewe ni kicheche. Yaani ana historia ya kupitiwa na wanaume wengi huko nyuma. Hili halifichiki kwani mimi nalijua na yeye pia anajua kuwa najua. Kinachonikosesha usingizi jamani ni kuwa huyu mtoto kiukweli nampenda lakini je kweli anaweza tulia? Tabia yake ya nyuma inanifanya nisiamini lolote analoniambia yaani najihisi ni mmoja katika orodha ya wengi watakaofuata.

Matatizo mengine ni kuwa kanizidi karibia kila kitu. I mean nikijiangalia kwenye kioo najiona mbaya tuuuuuu alaf nikimuangalia mwenzangu kila ninapokua naye najiona kabisa hatuendani ingawa yeye anasema ananipenda then again wangapi wamesha ambiwa wanapendwa na huyu b4 me.

Mfano Juzi (Saturday) nlienda naye kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu nikamtambulisha kama mpenz kwa watu ninaofanya nao kazi. Workmates wangu wote wakaanza kunimwagia misifa jinsi mtoto alivyo bomba. Karibia kila anayenijua (ikiwemo walio ma handsome zaidi yangu) wakawa wananiuliza nimempataje n.k. Boss wangu ndo kabisaa kaja na mkewe lakini wakati wa kucheza akaja mnyanyua mpenz wangu wakawa wanacheza huku wanapiga story na kucheka kwa furaha.

Yaani hata tukitoka Out najikuta tunatumia Gari yake (Nzuri kuliko yangu na ina A/c) kitu ambacho yeye anapenda. Mshahara wake ni zaidi ya ule wangu hadi nyumba tunazokaa yake nzuri zaidi. I keep asking myself will this relationship work?

Kinachonifanya ni hang-on hadi now ni kuwa amenitambulisha hadi kwa wazazi wake na baadhi ya marafiki kama mchumba wake. Ila Dingi mwenyewe alionekana hana time na mchumba wa binti yake. Mama yake naye anaongea naye kama dada yake.

Jamani embu nishaurini ni inferiority complex zangu tuu zinanisumbua ama niumalize tu huu uhusiano? Nimesha present concerns zangu kwake. Yeye akakimbilia kunikabidhi funguo za nyumbani kwake na kusema naruhusiwa kwenda hata saa nane za usiku. Bro alinishauri nimlazimishe anikabidhi simu yake. Nlivyomwambia tu akanipa hakubisha hata kidogo na hivi ninavyoandika hapa ninayo na imekuwa ikiita majina ya kike tuuu toka asubuhi ya leo (sijaipokea). Nime double check kwenye tigo pesa baadhi ya No zinaonekana legit. Kiufupi yuko tayari kufanya ninavyotaka hata gari kasema atapanda langu ingawa kimeo.

Nipo njia panda kumpenda nampenda sana lakini najihisi ntaumia zaidi huko mbele........... Mtu wa aina hii anaweza kweli kuwa a good wife? Niambie nimepotea au ndo penyewe?

Title na topic ni vitu viwili tofauti.
Jiamini kila mtu ana chance ya kubadilika.
 
kwanini?????????

Just think reasonably kama umeshawahi kuwa na mahusiano au kutoka na wanawake wengi(kama wewe ni mwanaume).

Mwanamke KICHECHE ambaye ameshatoka na wanaume 'kibao' hajawahi kufanya mapenzi bila condom! Hata malaya wanaojiuza na wanaogopa UKIMWI wanazaa sembuse huyo mtoto mzuri mambo safi?! Changa la macho, kashapigwa sana bila condom!
 
Nyani Ngabu, Mbona mnawasemea watu bila ridhaa yao ????

Habari ya uaminifu na cheatting ni ya mtu binafsi na utafiti wake ni mgumu kwani mtu atasema anavyojisikia wakati huo,
 
Last edited by a moderator:
Kama amehamua kubadilika kwa maana kwamba amemrudia Mungu nakuwa mcha Mungu hapo naweza kuamini. Ila hiyo yakusema tu kwa mdomo kuwa amebadilika utakuwa unajidanganya. Anakuweka tu reserve as anaona muda unasonga ila tabia yake iko pale pale. Ila pia tabia ya mwanamke kupendwa na wanaume sana siyo wakati wote inatokana na uzuri walio nao. Kuna roho chafu zifanyazo kazi ndani ya wanawake na zinawaweka chata usoni isiyoonekana na wanajikuta automatically ni wazinzi sana sbb yakufatwa na wanaume wengi. Ni maombi tu ndyo yanaweza kutoa tiba wa tabia hii. By the way, muanzilishi wa ndoa ni Mungu mwenyewe hivyo kama kweli unapenda ndoa takatifu na yakumpendeza Mungu ni vizuri ukaitafuta kwenye maombi na siyo kwakuangalia uzur wa nje. Hata Delila alionekana mzuri sana machoni pa Samsoni but she turned to be his betrayer! Good luck!
 
Back
Top Bottom