USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

Ndugu yangu Me370,

Hapo ulipo umeshanasa na sidhani kama itakuwa rahisi kujinasua...Hata hivyo jiandae kisaikolojia kuhandle mateso ya hali ya juu kwa sababu nafsi yako haiko kwenye msatari...

Kama ukiweza kudeal na matatizo yako, basi naamini utakuja hapa kummwagia sifa huyo x-kicheche wako....

Mwisho.., nakushauri uache kutumia lugha ya kashfa kwa mtu anayekupa uhai kama huyo dada....lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
na wewe umezidi kumchunguza, hebu mrudishie mwenzio simu yake aongee na mipedeshee yake.


Unahisi kuwa akitaka kuongea na hao mapeshee wake atashindwa kwa sababu simu kaichua mwanamume anayejaribu ku-build his own self confidence?

Babu DC!!
 
Jiamini mdogo wangu. ila kile kimeo chako usichojaza full-tank hata siku moja jaribu kutengeneza AC pale ilala usimkwaze mlimbwende. Kaza buti kanyaga twende...

PP
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! IF A LEOPARD CAN CHANGE ITS SPOTS THEN SHE CAN CHANGE!!!!!!!!! That is a ticking bomb! Just a matter of time kabla hujamboa!

Haha,.Lara1 huo msemo wako kiboko,.Ila mtoa mada inabidi atafute misemo ya kuupooza moto wa msemo wako..Misemo ya kujiriwaza na kutia hofu ni mingi,Ila uhalisia haubadiliki kwa misemo!!!Akili ku kichwa mtoa mada,.
 
Update
Jana tumepima tupo safi na hapa ninavyoandika tumecelebrate maisha mapya usiku wa jana. Maongezi mengi sana tumeongea jana ila nlichoamua kufanya ni kuto oa huyu mwanamke. Hapa ntakuwa naye tu kama mpenzi kwa muda mrefu huku nikijipa moyo ipo siku mke atapatikana. Tatizo mimi nina wivu na kwa jinsi wanaume wanavyomchangamkia huyu mwanamke nahisi ndoa hapa haitodumu. Yaani hata kama yeye atakuwa mwaminifu nikimuoa ila wivu wangu utiharibu ndoa na huyu mtu. Ingawa yeye kakiri kuwa kawahi kuwa na wapenzi wengi ila kabahinisha kuwa hajawahi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja katiaka maisha yake.
 
Just think reasonably kama umeshawahi kuwa na mahusiano au kutoka na wanawake wengi(kama wewe ni mwanaume).

Mwanamke KICHECHE ambaye ameshatoka na wanaume 'kibao' hajawahi kufanya mapenzi bila condom! Hata malaya wanaojiuza na wanaogopa UKIMWI wanazaa sembuse huyo mtoto mzuri mambo safi?! Changa la macho, kashapigwa sana bila condom!

You might be right Mkuu. Ila kujihakikishia afya ni kumpima na si vinginevyo.
Anaweza kuwa kicheche aliyemegwa bila condoms bahati hakupata ukimwi.
Na wapo baadhi alimegwa na mwanaume mmoja na huyo huyo akampa ukimwi.
Wasi wasi wangu uko kwenye tabia. Mshikaji aki mboa ataweza rudi kule alikotoka.
Uwezekano ni mkubwa sana.
Wanawake wenye exposure kubwa ni hatari kusaliti ndoa zao kwa vile wana xs kibao. Lakini hufanya tu pale unapo waboa.
Kama jamaa ana uhakika ataishi vile mwanamke anataka aishi watafika mbali.
 
unaomba ushauri wakati ulivyaandika tu unaonesha haupo tayari kumwacha
 
Aisee kuwa na past relationship nyingi doesn't mean yeye ni kicheche alikua na bahati mbaya tu ya kutopata what she was lookin for. Unakuta alikua anapenda masikini ila kumbe ameangukia kwa players na wanaume wengine wa ajabu ajabu. So if she loves u and u love her mpe chance mwenzio stop judging her past maana ye hata hajakujudge kakupenda as u are from the way u describe it, it seems u are not perfect either..yangu hayo tu. And for the first time I don't agree with u Lara 1 u know better than tht, u meet a perfect guy bt poor performer the next guy bongo flavor tu ukimove to the next one hujawa labelled kicheche hapo???

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom