USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

USHAURI TAFADHALI: Nime-fall kwa x-kicheche. Je atatulia?

Mwanamke mzuri hatafutwi bali anatengenezwa hivyo mtengeneze.
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! IF A LEOPARD CAN CHANGE ITS SPOTS THEN SHE CAN CHANGE!!!!!!!!! That is a ticking bomb! Just a matter of time kabla hujamboa!

Lara 1,

So you never believe in change?!!!
 
Oa tu mtu anakua kicheche lakini inafikia hatua anaamua kutulia mwenyewe bila kushauliwa.
 
  • Ndugu Me370 kwani una umri gani?, Yawezekana umri wako ikawa ni sababu ya kutokujiamini kwa huyu mrembo akupendaye.
  • Mwanamke akiamua kutulia basi hutulia kweli, zuli zaidi unafahamu historia yake ya nyuma na yeye anatambua kwamba unajua.
  • Jiamini. Hakuna aliye mkamilifu.

Ninamalizia 30 na yeye ana 27 kafika last month.
 
Je mmepima afya zenu??

Mimi huwa napima every January so bado ila haijawahi kutokea tukakutana bila kinga. Alafu yeye anachosema ni kuwa hajawahi kuwa na mtu bila condom toka azaliwe. Alisha nambia tukapime lakini. I'll get this done this saturday.
 
hivi mwanaume unataka kushindana uzuri na demu wako eti kakupita uzuri duh!!!alafu kutojiamini kwako ndo utazidi kugongewa....watu wanaowa mrax wa shivazi au mrina na unakuwa mama watoto na anatulia.one man thrush is another man.....malizia
 
People change... Either for the worse or better, its hard to tell. So take a chance or dont. No one can tell you what the future holds with her. Goodluck.
 
Hivi kicheche ni aliyemegwa na watu wengi kila mmoja kwa muda wake au yule anayekuwa na multiple concurrent partners hata kama ni wachache???!!!!!

Cc Ennie,Kibibi Jongo,mimi49,Kongosho,Smile,Heaven on earth,Mtambuzi,watu8,Eiyer na wengineo
 
Vicheche na hitmen hutulia pale anapokuwa na nia ya kufanya hivyo na.akakutana na mtu na mazingira yanayosuport nia yake, ni kutoka ndani kwa kushirikiana na yanayomzunguka na sio kinyume chake!!!!
 
na wewe umezidi kumchunguza, hebu mrudishie mwenzio simu yake aongee na mipedeshee yake.
 
cha msingi achana nae kutokana na iyo list unaweza hata kufa kwa HIV moyo wako achana nao fuata akili yako utaumiiiiiiaaaa ahhhhhhhhh!
 
Pole sana Mkuu!
...
Kuendelea na ukicheche wake inawezekana!
Vile vile kutulia inawezekana!
...
Umri wake ungetupa mwelekeo chanya wa kudirect hoza zetu ie zangu!!!
Yeye kukuzidi umri na kipato SIO ISSUE!!!!!
...
Issue ni: JEE ATAWEZA KUTULIA;
Hapa ningekushauri ufanye uchunguzi kuanzia sasa hadi mwakani (at least 12 Monthes) kama jee huyo ke ni Flexible or Static!!!!!
Hizo changes zake za sasa (kukujali, kukutambulisha, kujishusha etc) ni shindikizo la moyo!
Kumbuka mapenzi ni hisia!
Hisia huja na kurudi ie sometimes hupotea kabisa, kama alivyoachana na hao wengine!!!
...
Uchunguzi wako uangalie ktk mambo yake mengine ambayo hayana uhusiano na Mapenzi yenu!
Hapa ndio utajua kama yuko flexible (possitive changes) au yuko static!
...
Kumbuka kumpenda mtu tu (bila ya kuangalia vitu vingine), sio sababu nzuri ya kuingia ktk ndoa!
Ndoa nisafari ndefu sana!!!!!
...
I hope umenisoma!
kila la heri!!!
 
Mwanzoni moyo ulikuwa unanambia Hit & Run. Nika hit nikakolea nikanasa.
Je anafit vigezo vya aina ya mwanamke unayemtaka? Sawa ila muke muzuri uwe na moyo mugumu!! Unaweza pata ugonjwa wa Moyo.
 
Kwa uzoefu wangu .. nakushauri hapo uachane napo maana utaaaga dunia siku si zako kwa hofu na mashaka ya vitu ambavyo kumbe pengine havipo kabisa. Kwa wewe ili uwe na amani ungerudi tu kijijini tafuta mtoto mzuri wa elimu ya la saba, mpeleke ufundi wa kushona akimaliza mwekee mashine kibarazani.Kwisha kazi. Wadada wa mjini hautawaweza.
 
Mandhali umeshaanza kuweka ?? nakushauri ukiepuke kikombe hicho,utakufa na pressure siku si zako.Hukawii kuacha kazi na kwenda kuvizia kufumania.Kama una moyo mgumu kama jiwe endelea tu.
 
Mimi kuna kipindi nilitibuana na mke wangu(tukiwa wachumba) muda mrefu tu kila mtu akala hamsini zake. Nikakutana na mwanamke mwenye sifa kama hizo unazosema hapo zaidi yeye alikuwa na kampani nzito ya wanawake na wanaume na mpaka alikuwa ana kijikashfa cha kusagana!

Nilivyo mtata nikaamua kumbadilisha, ALIBADILIKA aisee. Miezi kadhaa aliacha pombe, mashosti, wanaume na ujinga wote. Maisha yake ya nyuma ukiyasikia unapiga kama GRANTS nne hivi.

Mwisho wa siku nilikuja kurealize ni ticking bomb, kwamba nikimboa tu any time ana chances kubwa za kurudi.

Nikafanya UNTHINKABLE. Nikarudiana na mchumba wangu na then mke wangu. Tuna miaka kadhaa tunaenjoy tu.

I was right nilichokifanya(nilisali kwanza) but for your case daaah mimi naona ni kama ticking bomb tu! Tena pale unaposema ati unampenda sana ndio balaa hilo.

Ratio dunia hii ya wanaume kwa wanawake unaijua 1:2. Funguo za furaha unazo wewe na utakaye enjoy hiyo furaha au huzuni ni wewe. Sali sana
 
hivi mwanaume unataka kushindana uzuri na demu wako eti kakupita uzuri duh!!!alafu kutojiamini kwako ndo utazidi kugongewa....watu wanaowa mrax wa shivazi au mrina na unakuwa mama watoto na anatulia.one man thrush is another man.....malizia

Safi sana,ndo maana wanalalamika sana humu kuwa nyie vijana hamuwafikishi kunako kilele cha mlima,sababu badala ya kuwaza mambo ya msingi eti kanizidi uzuri,unatudhalilisha wanaume wenzio!
 
Shetani akizeeka anakua malaika..sa zote unahic kuibiwa ibiwa tu hata km huibiwi...tafta unaye endana naye ucjepata ugonjwa wa moyo bure..
 
Mimi huwa napima every January so bado ila haijawahi kutokea tukakutana bila kinga. Alafu yeye anachosema ni kuwa hajawahi kuwa na mtu bila condom toka azaliwe. Alisha nambia tukapime lakini. I'll get this done this saturday.

Huu ni uongo mtakatifu.
 
Back
Top Bottom