Ushauri Tafadhali: Kujichua kumeathiri size ya uume wangu

Ushauri Tafadhali: Kujichua kumeathiri size ya uume wangu

MMU tuna nena na wewe, Hicho kiatu ukivueeeeeee!!
 
Simple logic... unapovuta vuta kitu ni kinapungua au kuongezeka size au kimo? Ni Kinaongezeka...

Asisingizie punyeto... maumbile yake ndiyo yalivyo... uume siyo ufutio...


Cc: mahondaw
 
naomba kuvaa viatu vya rafiki angu alienipa habari hii


nna miaka 5 tangu nianze kujichua lakini kipindi hiki ndio naona utofauti kwenye uume wangu tofauti na mwanzo..

kipindi cha mwanzoni uume wangu ulikuwa ni sawa na urefu wa kiganja changu cha mkono..

lakini siku hizi kila mheshimiwa akiwika hafikii urefu wa mwanzo wa kiganja cha mkono..

tunaweza sema ni kutokana na kujichua lakini je ni kweli kujichua inaweza punguza urefu wa mzee baba ?

karibuni
acha woga kijana endeleza gemu.
 
toka 2009 up to 2018 jiran ananieleza haya nimechoka sina mbavu
 
Back
Top Bottom