Ushauri Tafadhali: Kujichua kumeathiri size ya uume wangu

Ushauri Tafadhali: Kujichua kumeathiri size ya uume wangu

naomba kuvaa viatu vya rafiki angu alienipa habari hii


nna miaka 5 tangu nianze kujichua lakini kipindi hiki ndio naona utofauti kwenye uume wangu tofauti na mwanzo..

kipindi cha mwanzoni uume wangu ulikuwa ni sawa na urefu wa kiganja changu cha mkono..

lakini siku hizi kila mheshimiwa akiwika hafikii urefu wa mwanzo wa kiganja cha mkono..

tunaweza sema ni kutokana na kujichua lakini je ni kweli kujichua inaweza punguza urefu wa mzee baba ?

karibuni
Hiyoo ndio ulikuwa nayoo usitake vituu usivyoo kuoanavyoo
Sisi wenzakoo Munguu ametujaliaa
Kama unahitahii huwezi pata ngoooo
 
Back
Top Bottom