Ushauri Tafadhali: Kujichua kumeathiri size ya uume wangu

Ushauri Tafadhali: Kujichua kumeathiri size ya uume wangu

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kuna comment nimeona nashindwa hata kureply ngoja nichekee kavukavu tuu
 
Kujichua kunaathiri tu uwezo wa uume kusimama.. Haipunguzi urefu.

Kujichua kunampa usugu mzee baba,,, utamu wa papuch hutausikia.

Nikushauri, acha mara moja hiyo tabia
niache nyeto..! hauko chiliachi we kabisa
 
Kujichuaaaa hizi ni story za watoto wa mama wasio na majukumu

Ukiwa na majukumu mzee hutowaza ujichue
 
naomba kuvaa viatu vya rafiki angu alienipa habari hii

nna miaka 5 tangu nianze kujichua lakini kipindi hiki ndio naona utofauti kwenye uume wangu tofauti na mwanzo..

kipindi cha mwanzoni uume wangu ulikuwa ni sawa na urefu wa kiganja changu cha mkono..

lakini siku hizi kila mheshimiwa akiwika hafikii urefu wa mwanzo wa kiganja cha mkono..

tunaweza sema ni kutokana na kujichua lakini je ni kweli kujichua inaweza punguza urefu wa mzee baba ?

karibuni
Kwaupande wangu hii mada naona inaukweli
 
Ni kweli inapungua unene na sio urefu. Ila wee acha wiki tu inarudi palepale kama mwanzo. Pole sana. Twendelee kupambana na hili janga sugu la wazawa uwenda ipo siku tutafanikiwa. Huwa najuta sana kuujua huu mchezo. Nimekuwa mtumwa miaka 18.[emoji17]
 
urefu pia unapungua, aisee h kitu kuacha ni labla had kuoa.
 
Back
Top Bottom