Ni kweli inapungua unene na sio urefu. Ila wee acha wiki tu inarudi palepale kama mwanzo. Pole sana. Twendelee kupambana na hili janga sugu la wazawa uwenda ipo siku tutafanikiwa. Huwa najuta sana kuujua huu mchezo. Nimekuwa mtumwa miaka 18.[emoji17]
Dar
Yaan Mung atusaidie tu