Hapa ndipo kiini Cha tatizo kipo, jibu moja kati ya haya ushauriwe1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.
2. Biashara zimemnyookea?
3. Yuko busy na simu?
4. Anachelewa kurudi?
5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Ikiwa mnalumbana hili ni tatizo, mwanaume hapendi kabisa kutosikilizwa au kujibiwa vibaya na mwanamke.
Endapo utayafanya hayo atakosa hamu na wewe kabisa
Hata kama umeolewa usimfanye mwanaume auzoee mwili wako sana. Asiwe anauona hovyo kila akijisikia. Fanya kama bikra uwe na zile haya za kishamba hadi aonyeshe tamaa ya kukutaka ndio na wewe umuonyeshe dhamira ya kuruka nae.Na kweli msioe subirini Hali itulie, nahisi no. 1 hapo Kama ni kweli basi inaweza ikawa ni sababu coz nimemzoea sana na mimi huwa sipendi kuvaa nguo Mara nyingi huwa napenda kuvaa kanga moko na tukibaki peke yetu kanga nikiona inanikera huwa nayo natupa uko nabaki hivyo hvyo cna kitu hata chupi hivyo inawezekana labda kakinai kweli, na swala la kumkalia kwenye mapaja huwa namkalia nikiwa hivyo tunapiga story Ila hata hashtuki sijui sasa anakwama wapi huyu mwanaume jamani
Anafanya kazi gani?!Kila nikiongea nae ananiambia anachoka sana hana jibu lingine Bora angekuwa muwazi ili nimsaidie
Haya maswali naona mleta uzi anayakwepa sana sijui anajaribu kuficha nini?!Je mumeo kiuchumi na kimaisha yupo vizuri hana stress?
Ukimya wa mwanaume ni jambo ambalo wanawake huwa wanalioverlook sana. Ila lina impact sana katika mahusiano yao na namna wanafanya ndoa zao.Hiyo tabia ya mumeo niko nayo mimi A to Z,
Tatizo ni wewe na makwazo yako(bila shaka mumeo ni mkimya) ila wewe una mdomo sana lakini pia una choyo na mbinafsi yaani humsaiidii kwenye Mambo ya familia yenu( kipato chako ni chako tu ila chake unakitolea macho) yaani hushiriki kwenye ujenzi wa maendeleo ya familia yenu ni kama kila kitu umemuachia yeye kwakuwa ni kichwa cha familia.
Hayo ni kati ya yale machache ila kwa uzoefu tatizo ni wewe,kiufupi hujawa msaidizi wake(mke) bali upo kama hawala uliyevishwa pete ndani ya nyumba.....usipobadirika yatabaki mazoea tu kwa msaada wa hao watoto ila ndoa inaelekea ukingoni.
Muhurunie mwanamke mwenziousinilaumu mie hunijui na mie hujui nimepitia nini huenda unaongea tu kwa maana umepata shida wewe mie nimeshapitia vya kutosha .
Kuna ka ukweli hapa1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.
2. Biashara zimemnyookea?
3. Yuko busy na simu?
4. Anachelewa kurudi?
5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Ikiwa mnalumbana hili ni tatizo, mwanaume hapendi kabisa kutosikilizwa au kujibiwa vibaya na mwanamke.
Endapo utayafanya hayo atakosa hamu na wewe kabisa
Kwa nini kwisha habari yangu? Wanasema eti wanaobet hawana maisha mkuu, wanabangaiza!!!Unabet? Kwisha habari yako
Kwa kweli mnatuchanganya sana sie ambao bado hatuja ingia huko kwenye ndoaHata kama umeolewa usimfanye mwanaume auzoee mwili wako sana. Asiwe anauona hovyo kila akijisikia. Fanya kama bikra uwe na zile haya za kishamba hadi aonyeshe tamaa ya kukutaka ndio na wewe umuonyeshe dhamira ya kuruka nae.
Ila ukiwa mtu wa kuonyesha mwili wako hovyo hovyo anauzoea msisimko unakata.
Nakushauri umpe muda kidogo ikibidi nenda kwenu hata mwezi hivi halafu ukirudi jaribu kuwa msafi sana na ukirudi usiwe mtu wa kujiachia sana unaficha ficha mwili ukiona ameanza kupata stimu jua basi shida ni ulikuwa unajiachia sana.
Usifanye hilo kosa hata siku moja. Watu wanatafsiri hiyo dawa kama ni ya kuongeza hamu, ila viagra haiongezi wala kukupa hamu ya kufanya mapenzi. Pia viagra ni dawa ambayo hushushwa pressure ya moyo, ukiitumia kwa kiasi kisichofaa huweza kushusha presha mithili ya kufikia hatua ya kumuua mtu. Na mwishowe hiyo dawa inaleta addiction, ataweza kubaki kuitegemea hiyo dawa tu ili aweze kusimamisha. Narudia tena usifanye hivyo.Hiyo Viagra haina madhara nisije nikamuua bby bure nikajuta
Pau Bae kitambo sana mwanangu
Oooh jmn pole mwanangu.Wahuni walinichomolea phone btw how u doing?
Am glad dear am doing well too.GOD been goodOooh jmn pole mwanangu.
Mimi niko fine kabisa
Sio Kila mara atasimama asubuhi inategemea na hali ya mwili kuanzia mlo wa usiku na mapumziko mazuriIle saa 11 alfajiri duduzela anasimama?