USHAURI: Simuelewi mume wangu

Kama anabet ni ishara kuwa maisha hayamuendei sawa. Na wala hana mchepuko huyo
 
Sasa Kwan ni lazma kubet si aache yani mimi nachukia jamani basi tu
Tafuta vitu vya kuku keep busy.....
Ataanza yeye kukutafuta.
Usimfikirie mtu 24/7
Itakuumiza.
Wanaume hawana shukrani.
Kwani hata ukikaa mwaka kitaoza?
Tafuta vitu vya kukukeep busy
Develop new hobbies.
Kama hauna kazi/biashara tafuta gym near by kani subscribe huko kifurushi cha mwezi ...
Au anza kukimbia asubuh.
Tafuta movies...
Yaani jipe shuhuli...
 
Unataka kuvunja ndoa eti
 
Huyo mwamba ana umri gani?

Wote mnajishughulisha au ni yeye tu?

Hapo kabla hali ilikuwaje kabla mambo hayajaharibika?

Ni kwa kiwango gani unajua upataji wake wa hela?

Yaani maswali yanaweza kuwa hata mia, sababu ni nyingi mno...lishe yake pia, huenda ana mchepuko, huenda anajichua sana, huenda ameshakuwa gay...aaagr mambo ni mengi!!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kweli hali itulie
 
For your peace of mind

Fuata ratiba ya hisia ya mume wako...He is the one who needs an erection not you...

In the interim, kuwa busy na watoto,nyumba yako,kazi na issue zingine na muda mwingine jihudumie mwenyewe...

Lisikustress sanaa
Fanya mengine yanayokupa raha
 
Sio kila mwanaume ana mihemko ya kiduanzi, na kuwa na mke sio ndo kugongana kila wakati bana acheni watu wapumzike sometimes chain za biashara na pesa zinashuka mambo hayapo sawa na sio lazima uambiwe jiongeze.... Mnatumaliza sana nguvu, ndo maana unakuta mwanaume mwembambaa hana nuru ila mwanamke kakona, Kama wewe una hamu basi mtengeneze mwenzako bila kuchoka maana ww ndo una shida... usilazimishe na yeye aanze kuwa na shida na wewe
 
Hivi mtu anayebet ni vile maisha hayamuendei sawa? Basi ngoja niache
na siachi ng'o!
Kubet ni indicator kuwa unachopata hakitishelezi hivyo unahitaji kubahatisha sehemu zingine. Na kama unabahatisha ina maana maisha hayaendi sawa
 
Inaonyesha una mengi mkuu. Pole bana!
Binafsi siwezi ishi mazingira hayo mnayoishi nyie lakini inawezekana mnayo sababu muhimu.
 
Mh kazi kweli kweli!
 
huna maajabu ndioo maana haoni umuhimu wakukuambia anahitaji bora abaki na kiu yake .
ungekuwa unamaajabu ungebwanwa na wivu ungeonewa kweli hana shida yeyote unaboa tu.
anaona bora abaki na nguvu zake
 
Asante mkuu ubarikiwe
 
huna maajabu ndioo maana haoni umuhimu wakukuambia anahitaji bora abaki na kiu yake .
ungekuwa unamaajabu ungebwanwa na wivu ungeonewa kweli hana shida yeyote unaboa tu.
anaona bora abaki na nguvu zake
Kama ni hivyo mahari irudishwe ndoa ivunjwe. Nashukuru wanaume hatuoi mizigo siku hizi, tunaoa vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…