miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
- Thread starter
-
- #301
Asante sana nitaufanyia kazi ushauri wakoKuna vitu vidogo vya kurekebisha mm nami nilishapitia.
Ipo hivi Mwanamke anapokaa muda bila kufanya tendo siku ya kufanya hupania na kaamrisha Mume wafanye kwa mda mrefu ,siyo sawa kwani Mwanaume hachelewi kumwaga kama hafanyi mara kwa mara kwa Amri hizo mwanaume hukosa hisia kabisa .
Usimwambie maneno makali ya kumkatisha tamaa hisia hupotea kabisa na kuona tendo ni adhabu kali hivyo kumpoteza kabisa
Mimi niliambia kama huwezi mpaka nifike kilele tusifanye ,Hii kauli ilinimaliza kabisa nikajibu kwa kauli nzito tafuta mwanaume .mwisho akashuka tukajadili kwa sasa napewa mpaka zawadi
Akifanya ata kidogo msifie,mtie moyo akisema nimechoka mwambie pumzika Mume wangu tutafanya tena asubuhi na kweli asubuhi jitahidi baada ya muda ata jiamini utakuwa unafaidi na kila siku ya tendo utafika kileleni naamini ugonjwa wako uko hapa pia wanawake wengi huwaondoa hisia kwa kauli na Amri.
Kama kuna Vitu havipendi acha usivifanye na kabla ya mechi usifanye jambo lolote la kumkera pia ata katikati ya mechi,kama ni marekebisho mwamwie kwa upole baada ya mechi tena baada ya kushukuru.
Mf: Unajua Mme wangu tulipokuwa ktkt ya mechi nilikaribia ila ulinipoyeza kwa kufanya jambo flani ,keshi baby fanya hivi na hivi sichelewi
N:B usitafute mpango wa kando,Pm yako watakuja pia .
zingatia haya utakuja kunishukuru baadaye.
sorry mm siyo mwandishi mzuri .
Nigey namba yako nikusaidie Hilo ni tatizo dogoHabari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Hakuwa hivi na Kama angekuwa hivi nisingekubali anioe ningemkimbia mapema sana nisingetaka kujiingiza kwenye mateso
Mwamba kama mwamba....Kishakamuliwa huko mbo0o0 imebaki upepo tu....na michepuko inavojua kuroga sasa mamaeeeh
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
We jamaa ujengewe mnara mkubwa kabisa pale Dodoma kwaajili ya ukumbusho wa vizazi vijavyo. Yaani umeongea mlele Safi Sana kijana na Hilo ndio Tatizo tu kwa vyovyote vileHiyo tabia ya mumeo niko nayo mimi A to Z,
Tatizo ni wewe na makwazo yako(bila shaka mumeo ni mkimya) ila wewe una mdomo sana lakini pia una choyo na mbinafsi yaani humsaiidii kwenye Mambo ya familia yenu( kipato chako ni chako tu ila chake unakitolea macho) yaani hushiriki kwenye ujenzi wa maendeleo ya familia yenu ni kama kila kitu umemuachia yeye kwakuwa ni kichwa cha familia.
Hayo ni kati ya yale machache ila kwa uzoefu tatizo ni wewe,kiufupi hujawa msaidizi wake(mke) bali upo kama hawala uliyevishwa pete ndani ya nyumba.....usipobadirika yatabaki mazoea tu kwa msaada wa hao watoto ila ndoa inaelekea ukingoni.
Nadhani asi escallete huko kwanza afanyie kazi yeye mwenyewe .inawezekana kufanya hivyo kukaongeza tatizoJaribu kumpeleka kwa viongozi wa dinii kama milifunga ndoaa.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pole sana.uwemtulivu hiyo ni wako tuu.Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Daah hili tatizo liko upande wangu yaani mimi ni kama mmeo alivyo sasa ...Habari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Acheni ujinga, nimepiga punyeto from age of 13 up to now, ndiyo kwanza nguvu zinazidi kuongezeka. Msifananishe nyeto na upuuzi. Huyo ana matatizo yakemmmmh!!![emoji3166]hapo tatizo kuu ni punyeto nyingi sana kwake alipokuwa kati umri wake mdogo na hajaacha anaendeleza hiyo kitu.Jaribu kumchunguza utakuja kunipa jibu kama mchepuko kwa nin anawahi kurudi nyumbani au ni mchelewaji ???
We' ni lofa kmmae zakoNimempa mda... Tukapime.... Simsaidiii AMINI ...kwao mke wangu wako well-off kuliko Mimi na familia yangu.. ni yeye na akili zake... mpaka walimkataa wakamuacha tu... Nikamkuta... Tukarudiana ... Nikamtafutia kazi ..nikamsomesha ..... (Kuna Uzi HUMU).... Alipoanza na yeye kuwa Afisa ndio akaanza dharau... Nkamwambia tu... Unajua nilipokutoa ... Na umaskini wetu kwetu na kwao walimkataa kabisaaaa akawa tu dada wa mtaani.... Unanifanyia hivi... Nikamuachia na nyumba na hati na Kila kitu nikaenda kupanga...... Vikao nilivyoitwa kanisani, Koo , familia ni vingi mnoooo.... Amini Nakwambia. ANAJUA MAKOSA YAKE. Kwa nilivyomkuta Baada ya kuachana shuleni na maisha niliyomjengea na tumefunga ndoa ... Kwani hao WALIOKUWA wanampa kiburi anao!!?? ....
Umeniboa sana weweNimempa mda... Tukapime.... Simsaidiii AMINI ...kwao mke wangu wako well-off kuliko Mimi na familia yangu.. ni yeye na akili zake... mpaka walimkataa wakamuacha tu... Nikamkuta... Tukarudiana ... Nikamtafutia kazi ..nikamsomesha ..... (Kuna Uzi HUMU).... Alipoanza na yeye kuwa Afisa ndio akaanza dharau... Nkamwambia tu... Unajua nilipokutoa ... Na umaskini wetu kwetu na kwao walimkataa kabisaaaa akawa tu dada wa mtaani.... Unanifanyia hivi... Nikamuachia na nyumba na hati na Kila kitu nikaenda kupanga...... Vikao nilivyoitwa kanisani, Koo , familia ni vingi mnoooo.... Amini Nakwambia. ANAJUA MAKOSA YAKE. Kwa nilivyomkuta Baada ya kuachana shuleni na maisha niliyomjengea na tumefunga ndoa ... Kwani hao WALIOKUWA wanampa kiburi anao!!?? ....
Manamake ni yaleyale tu.... Kama yanavyotuita mbwa wao ni wachafu zaidi.. wanaume hawasemagi tu.Umeniboa sana wewe