USHAURI: Simuelewi mume wangu

Umejaribu kuongea naye Kwa utulivu namna unavyokereka na Hali hiyo? Je siku ukimuanza akikupa game performance yake huwa inakuwaje ni chini ya kiwango, wastani au inakuwa ya viwango vya sgr?? Tuanzie hapo, halafu tutaendelea
 
Pole kwa changamoto unayopitia!! Swali langu ni kama ifuatavyo??
Siku akikubali kufanya mapenzi na wewe perfomance yake inakuaje ukilingnisha na hapo nyuma??
Kuandaa anajua ananiandaa vizuri sana mpaka kwenye maandalizi naweza mwaga hata mabao 3 Ila akishaingiza mkuyenge haichukui hata dk 5 kashamwaga na harudii round ya 2
 
Asipokuelewa atakuwa na tatizo
 
Kuandaa anajua ananiandaa vizuri sana mpaka kwenye maandalizi naweza mwaga hata mabao 3 Ila akishaingiza mkuyenge haichukui hata dk 5 kashamwaga na harudii round ya 2
Na hapo before ilikuwaje?? Alikuwa hivi hivi au perfomance imeshuka??
 
Tafuta mda ambao mme wako ana raha, mwandalie chakula kizuri, wakati wa kula muulize taratiiiiibu! Mme wangu, nimekukosea nini? Wakati wa maagano ya ndoa tuliambiwa tendo la ndoa ni haki ya kila mmoja, "kulikoni"??
 
dunia simama nishuke.....hamna stress inasumbua ke kama akinyimwa dyudyu unaweza waza k imepakwa shombo,hii situation inaweza kukuwazisha sana mixer mahasira ya karibu,ghubu,unazeeka kabla ya siku zako,hata lotion haishiki mwilini 😅😅😅😅shoga pouule.......mpododo muhimu embu chunguza kuna namna haiko sawa
 
Hapo tatizo ni ww mwenyewe ulikuwa unaringa kutoa mzigo sasa mwamba kaaamua kukukaushia
 
Yani hapa na password nshabadilisha sahivi najiweka bize akirudi Sina habari na mapenzi pia nafikiria hata na yeye ikitokea akitaka na Mimi nijidai nimechoka ili nimuweke kwenye mstari
 
Huyo atakuwa na tatizo either kazini kwenye familia au hata mtaani hayo mambo yanachangia pia
 
Mh! Hapa sidhani kwanza hakuna kitu hapendi Kama kushikwa makalio
 
...Mna Miaka mingapi kwenye Ndoa... Tuanzie Hapo kwana...Kutafuta tatizo la Mumeo..!
 
Yani hapa na password nshabadilisha sahivi najiweka bize akirudi Sina habari na mapenzi pia nafikiria hata na yeye ikitokea akitaka na Mimi nijidai nimechoka ili nimuweke kwenye mstari
SawA love
 
Na hapo before ilikuwaje?? Alikuwa hivi hivi au perfomance imeshuka??
Performance imeshuka kwakweli hakuwa hivi mwanzo alikuwa anajitahidi tunaenda hata round 2 Ila sahivi round moja basi
 
Itoshe kusema Ndoa zina wenyewe
 
Tafuta mda ambao mme wako ana raha, mwandalie chakula kizuri, wakati wa kula muulize taratiiiiibu! Mme wangu, nimekukosea nini? Wakati wa maagano ya ndoa tuliambiwa tendo la ndoa ni haki ya kila mmoja, "kulikoni"??
Sasa hapa inabidi nisubiri tarehe 23 Simba ishinde ndoniongee nae maana ni mpenzi wa Simba ikishinda atakuambia mke wangu leo niambie vitu vyote unavyotaka nikufanyie Ila ikitokea ikifungwa ndo basi tena, tena Simba ikifungwa ndokabisa hataki hata nimsogele na chakula pia anagoma kula hapa kazi ninayo inabidi nifunge kwa maombi Simba ishinde hyo tar 23 ili tulidiscus hili swala
 
Mimi sioni tatizo! Kama siku ukimuanza Mmeo anatoa huduma vizuri nadhani sioni haja ya yeye kukuanza.Wewe fanya sehemu yako then hilo la kutokukuanza mwachie yeye.
Vinginevyo hizo ni hisia tu kwamba huenda ana mwingine huko nje.
Niulize swali la mwisho! Wewe ni Mama wa Nyumbani au una shughuli au kazi yo yote unayofanya? Kama ni Mama wa nyumbani ndiyo maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…