Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,467
Labda wakati wako haujafika
Hiyo ndo approach nzuri sasa. Mwenyewe nmekua kwenye mahusiano zaidi ya mara 5 na sijawai kutongoza ilitokea tuKutojua kutongoza pia ni kipaji mkuu. Sio wanaume wengi wanacho so just embrace it. By the way sio lazima utongoze ndio ung'oe totoz, smtimes inatokea automatically janga urafiki tu na wanawake unaowapenda, jifunze wanapendelea nn, fanya/ongea vitu wanavyovipenda.
Baada ya hapo utashangaa mpo kwenye mahusiano.
Cc: Evelyn Salt
Kwanini aseme aliogopa kuchukua number? Kutaka anataka uoga umemuangusha.Huyo jamaa yako alikuambia kuwa amempenda au amevutiwa na huyo binti?
Ila unaweza kuja kuandika JF. Jikaze mtoto wa kiume.Mimi ni kijana wa kitanzania, nina tatizo moja la kushindwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jamani, nifanyaje?
Ungempiga konzi,kofi halina uzito kwa udhalilishaji aliotufanyia.Wewe ni ndezi kama jamaa ang juz kaja kuniadisia et kapanda na manzi kwny bus dem kamwambia kapenda kampan yake wakipga story jamaa akadrop posta manz kashukia fery sasa kchaa anambia daa nimeogopa kuchukua no ilibid nimpe bao la mgongo ma tusi juu![]()