USHAURI: Serikali iyanunue yale Makontena kwa Bei ya ACACIA ikayauze kwa Bei ya Prof. Mruma

Wewe ni katika wachache sana au pengine uko peke yako tu ulioona huu ni Ubwege,
Even if ikiwa wenye ACACIA wako serikalini hainizuii mimi kushauri
Mkuu, huu Uzi umehamishiwa huku lakin ukiangalia hapo juu utaona kuna topic mpya kabisa.
 
Mkuu, huu Uzi umehamishiwa huku lakin ukiangalia hapo juu utaona kuna topic mpya kabisa.
Haujahamishiwa kokote kaka, pengine umefungua Uzi mwengine,
Mie ndio nilianzisha huu uzi, na niliuanzisha jukwa hili hili,
Siajaona ukihamishwa wala kuunganishwa na uzi wowote ule Mkuu wangu, cheki vizuri
 
Elewa wewe maamuma,... Kuna mtu alianzisha Uzi wenye kichwa "hivi acacia wakitulipa, wataweka wapi sura zao" ndio Chanzo cha comment yangu. Mods kwa uelewa wao wameuhamishia ule Uzi huku kwenye kijiuzi chako... Sasa huelewi nini???unatoka mipovu Kama upo period...
 
Walitumia Makalio (Masaburi,) ( Nimenukuu maneno ya MAREHEMU Didas Masaburi RIP)
Sijakurupuka ila ukweli ndio huo. JPM anapaswa kuiagiza TRA itumie sheria ya kodi na kuwanyanganya Accacia Leseni ya kuchimba Madini for "under declaration " pia kutaifisha Samahani "to forfeit" hizo containers 277 hata waliosafirisha wataambullia Hewa kwani hiyo kampuni inayosafirisha ni ya kiongozi wa zamani wa Ccm ! Anayechimba hayo Madini ni kampuni za Rostam Aziz na fedha alipewa na Mkapa kwa Mkopo ulodhaminiwa na Serikali ya Tanzania na nahisi fedha haikulipwa huenda ni sehemu ya Deni la Taifa.Kutoka hapo kanyaga twende tutajua jinzi ya kuagana na GGM - Ashanti Gold kule Geita. Tubadadili sheria kwenye Bunge la sasa hivi la Bajeti Mrahaba uwe 50% kama wakisusa "they can pack and go." Tutaminywa na wenye Migodi lakini kiuhalisia hayo Madini ni ya kwetu ni bora tulime kwa meno kuliko kupewa ka mrahaba ka 4%. Watu wote waliowahi kufumba macho tuwanyanganye vyote walivyo navyo pamoja na familia zao tuwaweke kizuizini kama Marehemu Jumbe ! JPM just issue a Presidential Decree tumalizane nao hata ikibidi we can suspend the constitution for one week ? Dunia itatuelewa na ndio fundisho kwa watakaothubutu kula rushwa tena wakiwa Ikulu? Hizo tume ni kutupotezeana muda tu as long John Pombe Magufuli has the political will sisi Wazalendo tuko tayari kufa pamoja na JPM kwani ameonyesha uthubutu tumsamehe ya zamani ila ameahidi kutokutuangusha. Ndio maana hataki kwenda huko kwa Wakubwa kwani hawatakawia kumfanyia walichomfanyia Marehemu Hugo Chavez ! JPM japokuwa umesema hutaki ushauri wa mtu ila for sure usithubutu kwenda huko Ulaya au hata Marekani hata China watakula na wewe sahani moja.? Hakuna cha kupoteza zaidi ya woga ila nasema enough is enough hayo ndiyo mabadilko tuliyohitaji na sio kuzungusha mikono. Tusijali rangi ya Paka as long as anakamata hawa panya tena na kuwala!
hizi hatua ulizotaja hazina uzalendo wowote zaidi ya kuingiza inchi maskini kwenye majanga ,waswahili wanasema maskini hana kauli mikataba tulingia wenyewe tukiwa na akili timamu na kuivunja kibabe nikujiweka kwenye moto
 
Walitumia Makalio (Masaburi,) ( Nimenukuu maneno ya MAREHEMU Didas Masaburi RIP)
Sijakurupuka ila ukweli ndio huo. JPM anapaswa kuiagiza TRA itumie sheria ya kodi na kuwanyanganya Accacia Leseni ya kuchimba Madini for "under declaration " pia kutaifisha Samahani "to forfeit" hizo containers 277 hata waliosafirisha wataambullia Hewa kwani hiyo kampuni inayosafirisha ni ya kiongozi wa zamani wa Ccm ! Anayechimba hayo Madini ni kampuni za Rostam Aziz na fedha alipewa na Mkapa kwa Mkopo ulodhaminiwa na Serikali ya Tanzania na nahisi fedha haikulipwa huenda ni sehemu ya Deni la Taifa.Kutoka hapo kanyaga twende tutajua jinzi ya kuagana na GGM - Ashanti Gold kule Geita. Tubadadili sheria kwenye Bunge la sasa hivi la Bajeti Mrahaba uwe 50% kama wakisusa "they can pack and go." Tutaminywa na wenye Migodi lakini kiuhalisia hayo Madini ni ya kwetu ni bora tulime kwa meno kuliko kupewa ka mrahaba ka 4%. Watu wote waliowahi kufumba macho tuwanyanganye vyote walivyo navyo pamoja na familia zao tuwaweke kizuizini kama Marehemu Jumbe ! JPM just issue a Presidential Decree tumalizane nao hata ikibidi we can suspend the constitution for one week ? Dunia itatuelewa na ndio fundisho kwa watakaothubutu kula rushwa tena wakiwa Ikulu? Hizo tume ni kutupotezeana muda tu as long John Pombe Magufuli has the political will sisi Wazalendo tuko tayari kufa pamoja na JPM kwani ameonyesha uthubutu tumsamehe ya zamani ila ameahidi kutokutuangusha. Ndio maana hataki kwenda huko kwa Wakubwa kwani hawatakawia kumfanyia walichomfanyia Marehemu Hugo Chavez ! JPM japokuwa umesema hutaki ushauri wa mtu ila for sure usithubutu kwenda huko Ulaya au hata Marekani hata China watakula na wewe sahani moja.? Hakuna cha kupoteza zaidi ya woga ila nasema enough is enough hayo ndiyo mabadilko tuliyohitaji na sio kuzungusha mikono. Tusijali rangi ya Paka as long as anakamata hawa panya tena na kuwala!

Kuwakamata na kuwanyonga wote waliohusika na hiyo mikataba, kufirisi wao na familia zao iwe ndio ahatua ya kwanza...

Hatua ya pili tusimamishe mikataba yote ya madini kwa kigezo cha mazingira ya rushwa na uonevu kwa nchi masikini, iwekwe kwenye katiba mikataba yote kwa mtu anayetaka kuchimba madini, gas, mafuta ni 50/50 hutaki nenda na tusiruhusu maneno mengi...
 
Ni sahihi kabisa? Ila ni kuwa serikali itapata mnunuzi kwa bei ya Prof Mruma? Wale watu unajua ni syndicate. So wataboycot hiyo bei ya serikali hata kama ndio bei ambayo wemekuwa wakinunulia. Dawa ni kufunga kinu hapa hapa. Tupepete hayo makapi, tutoe dhahabu, Silver, Al, na hayo madini mkakati then tuuze kitu kinahoonekana.
Halaf hicho kitu 'kinachoonekana' unachokisema mtakiuza wapi? hahaha
 
yaani aje mtu shambani kwangu avune alafu aniuzie ..ili mimi nikauze... huu ni uzuzu
GGM hawajaiba, hiyo thamani ya 300m kwa content wameilipia kodi halali, ila hiyo ziada ndo ingeibiwa, hivyo kwa ujumla mapato yao yangekuwa kama bilioni 100 hivi, wakati serikali itapata trikioni 1.3, faida ya serikali itakuwa zaidi ya billion 900, nyingi kweli!!! ACACIA watakuwa tayari maana wao wanataka ukweli uwe wazi, maana wao ni international company inafanyakazi nchi nyingi, ni nafasi ya kuwaumbua.

Serikali isipofanya hivo wengi watajua ilikuwa ni kiki tu, tena mbaya maana inaua imani ya wawekezaji, Nani atakuja kujenga kiwanda?? Labda hivyo vya mashine ya kupukuchua mahindi!!!
 
Elewa wewe maamuma,... Kuna mtu alianzisha Uzi wenye kichwa "hivi acacia wakitulipa, wataweka wapi sura zao" ndio Chanzo cha comment yangu. Mods kwa uelewa wao wameuhamishia ule Uzi huku kwenye kijiuzi chako... Sasa huelewi nini??? unatoka mipovu Kama upo period...
Ungeweza kuelezea vizuri ukaeleweka zaidi,
Anyway, hapo nilipo-highlight Red panaonyesha wewe u-mtu wa aina gani,
Weekend njema
 
Hapa sio suala la kuuziana..hapa ni suala la kuongopa kilichopo ndani,,lakin serikal wala haina shida na kuyanunua shida ni kwa nini kilichosemwa kua ni mchanga mtupu kuwe na kias kile cha madini??
 
Mkuu Shark, Mimi naona Container mojawapo lipelekwe kuchenjuliwa chini ya wasimamizi wa kimataifa. Ikiwa kitachopatikana ni sawa na Kamati ya Prof Mruma tumeshinda.
 
Ni sahihi kabisa, Lakini Acacia watakubali kuiuzia serikali????
Nina uhakika ACACIA watafurahia kama hilo lingewezekana. Tena isiishie kwenye makonteina hayo tu bali serikali inunue na mengine yote yatakayozalishwa baadaye.

Baada ya hapo wananchi wakipewa nafasi ya kupendekeza adhabu anayostahili Mruma na kamati yake, sijui watapendekeza nini. Nina uhakika kila adhabu wataona haitoshi.
 
Hii ndo namna pekee ya kujua upande upi unasema ukweli na bei zake...Acacia wapewe Chao watulie,serikali ikauze kwa hizo bei walizoripoti...
Kuna mtu lazma atashikwa pabaya hapa..
 
hahahahahahaha

Mruma kasema bei za michanga kwenye soko la dunia kapata kwenye ma website mbali mbali...
 
Wadau,

Wote tunafahamu kua kwa sasa kuna mvutano kati ya Serikali (Kamati ya Prof. Mruma) v/s ACACIA ambao ndio wenye makontena 271 yaliyoshikiliwa Mandarini. Kamati ya Prof. Mruma wanasema kua thamani ya madini yaliyoko kwenye kontena moja kwa wastani yana thamani ya zaidi ya Tshs 3Bil wakati Kampni ya ACACIA kupitia kwa Mtendaji wake mkuu wanasema kua kila kontena moja lina thamani ya wastani wa Tshs 300Million tu.

Mi ushauri wangu kwa serikali ni kua iilazimishe kampuni ya ACAIA iwauzie wao serikali kwa bei hiyo ambayo ACACIA wanadai yaani Tshs 300Mil kisha yenyewe ikayauze au ikayasafishe kwa hiyo bei inayodhani kua ndio thamani halisi.

Hapo ina maana serikali itakua imejipatia faida kutokana na haya makontena au dhahabu, lakin pia itakua imejua ukweli yenyewe kua ni kiasi gani hua hawa wenye makampuni ya kuchimba dhahabu wanapataga kutokana na huu mchanga. Nina uhakika serikali haitokosa Tshs 300mil x 271 = Tshs 81.3Billion kulipia haya Makontena,

Ushauri wangu ni huu
Mkuu,
Nimelipenda sana hili wazo lako na ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom