USHAURI: Serikali iyanunue yale Makontena kwa Bei ya ACACIA ikayauze kwa Bei ya Prof. Mruma

Mwache Jumbe apumzike kwa amani baada ya dhulma aliyotendewa . fungal domo lako. Kama unaamini Jpm ni mzalendo mwambie aanze kurudisha Yale majumba ya wananchi waliyogawana yeye na wenzake. Yeye asamehewe na wengine wasisamehewe kwa msingi gain!?
Walitumia Makalio (Masaburi,) ( Nimenukuu maneno ya MAREHEMU Didas Masaburi RIP)
Sijakurupuka ila ukweli ndio huo. JPM anapaswa kuiagiza TRA itumie sheria ya kodi na kuwanyanganya Accacia Leseni ya kuchimba Madini for "under declaration " pia kutaifisha Samahani "to forfeit" hizo containers 277 hata waliosafirisha wataambullia Hewa kwani hiyo kampuni inayosafirisha ni ya kiongozi wa zamani wa Ccm ! Anayechimba hayo Madini ni kampuni za Rostam Aziz na fedha alipewa na Mkapa kwa Mkopo ulodhaminiwa na Serikali ya Tanzania na nahisi fedha haikulipwa huenda ni sehemu ya Deni la Taifa.Kutoka hapo kanyaga twende tutajua jinzi ya kuagana na GGM - Ashanti Gold kule Geita. Tubadadili sheria kwenye Bunge la sasa hivi la Bajeti Mrahaba uwe 50% kama wakisusa "they can pack and go." Tutaminywa na wenye Migodi lakini kiuhalisia hayo Madini ni ya kwetu ni bora tulime kwa meno kuliko kupewa ka mrahaba ka 4%. Watu wote waliowahi kufumba macho tuwanyanganye vyote walivyo navyo pamoja na familia zao tuwaweke kizuizini kama Marehemu Jumbe ! JPM just issue a Presidential Decree tumalizane nao hata ikibidi we can suspend the constitution for one week ? Dunia itatuelewa na ndio fundisho kwa watakaothubutu kula rushwa tena wakiwa Ikulu? Hizo tume ni kutupotezeana muda tu as long John Pombe Magufuli has the political will sisi Wazalendo tuko tayari kufa pamoja na JPM kwani ameonyesha uthubutu tumsamehe ya zamani ila ameahidi kutokutuangusha. Ndio maana hataki kwenda huko kwa Wakubwa kwani hawatakawia kumfanyia walichomfanyia Marehemu Hugo Chavez ! JPM japokuwa umesema hutaki ushauri wa mtu ila for sure usithubutu kwenda huko Ulaya au hata Marekani hata China watakula na wewe sahani moja.? Hakuna cha kupoteza zaidi ya woga ila nasema enough is enough hayo ndiyo mabadilko tuliyohitaji na sio kuzungusha mikono. Tusijali rangi ya Paka as long as anakamata hawa panya tena na kuwala!
 
Wadau,

Wote tunafahamu kua kwa sasa kuna mvutano kati ya Serikali (Kamati ya Prof. Mruma) v/s ACACIA ambao ndio wenye makontena 271 yaliyoshikiliwa Mandarini. Kamati ya Prof. Mruma wanasema kua thamani ya madini yaliyoko kwenye kontena moja kwa wastani yana thamani ya zaidi ya Tshs 3Bil wakati Kampni ya ACACIA kupitia kwa Mtendaji wake mkuu wanasema kua kila kontena moja lina thamani ya wastani wa Tshs 300Million tu.

Mi ushauri wangu kwa serikali ni kua iilazimishe kampuni ya ACAIA iwauzie wao serikali kwa bei hiyo ambayo ACACIA wanadai yaani Tshs 300Mil kisha yenyewe ikayauze au ikayasafishe kwa hiyo bei inayodhani kua ndio thamani halisi.

Hapo ina maana serikali itakua imejipatia faida kutokana na haya makontena au dhahabu, lakin pia itakua imejua ukweli yenyewe kua ni kiasi gani hua hawa wenye makampuni ya kuchimba dhahabu wanapataga kutokana na huu mchanga. Nina uhakika serikali haitokosa Tshs 300mil x 271 = Tshs 81.3Billion kulipia haya Makontena,

Ushauri wangu ni huu
Good thinking 'lakini sheria zina semaje'
 
yaani aje mtu shambani kwangu avune alafu aniuzie ..ili mimi nikauze... huu ni uzuzu
Kosa ulishafanya toka awali kwa Kumuachia Shamba asafishe yeye, apande yeye, apalilie yeye, avune yeye na kisha wewe uje ule 04% tu mwisho wa siku.

Issue inakuja ni kua yeye anakuambia alichovuna ni Tshs 100,000 kwa kila gunia hivyo unastahili Tshs 4,000/= tu kwa gunia, we unamwambia alichovuna ni cha Tshs 1,000,000/= kwa gunia hivyo unastahili 40,000/= kutoka kwake, mnabishana kila mtu anasema value yake tofauti na mwengine kwa kila gunia lililovunwa. Pengine kama ni mahindi basi wewe unapigia bei ya Mahindi yenyewe, Magunzi yake labda ni mkaa, Yakikobolewa zile Pumba zote unapigia mahesabu pengine ndio maana unapata value kubwa kuliko yeye.

Mimi ndio nashauri sasa kama ye anasema kavuna cha Tshs 100,000/= kwa gunia na sio Tshs 1,000,000 unazosema wewe, basi we mwambie umpatie yeye hizo 100,000/= kwa kila gunia akupe huo mzigo wewe uende ukauze huko unakojua wewe kunauzika kwa Tshs 1,000,000/= uone atasemaje.
 
Kwa mujibu wa Mkataba mbovu wa CCM uliosainiwa na Mwenyekiti wake Benjamin Mkapa Mchanga ni mali ya ACACIA na serikali ina 4% tu ya mapato yatakatotokana na faida ya mchanga huo. Hatua yoyote itakayochukuliwa na Serikali kinyume na taratibu ni kuvunja mkataba.Yatokanayo na kuvunja mkataba huo ni sawa na kuifilisi serikali kwa faini natozo itakayokabiliwa Tanganyika.
Halafu polepole anaulizwa haya matatizo yamesababishwa na nani anataka kumpiga mtu si uboya huu. Wabunge wa CCM wao kila Mara kuunga mkono ujinga wanatakiwa wajifunze kwenye hili watetee maslahi ya nchi waachane na maslahi binafsi na ligi zisizo na msingi.
 
Nilisikia hiyo 4% naumia mno. Hivi hawa waliopitisha mikataba hii wapo n walikuwa wanafikiria nini?
Inasikitisha sana mkuu, mwanzoni ilikuwa 3% watu walipopiga kelele nafikiri ndo wakawarushia hako ka 4%. Mimi naona ilikuwa bora kuwaachia wananchi wakachimba hata kwa vidole kuliko kugawa bwerere!! Hivi ile mahakama ya wahujumu uchumi imeshaanza kazi? au bado wanatafuta watuhumiwa kwa tochi mchana wa jua kali..
 
Ile mahakama Si walisema eti siku hizi hakuna ufisadi tena hivyo mahakama haina kesi. Na wakadai jpm amethibiti ufisadi. Walipoulizwa kuwa mbona walisema lowasa atapelekwa huko na kwenye kampeni walisema hivyo wakajibu eti walinukuliwa vibaya. Afu nashangaa tena wanalia majukwaani eti nchi inaibiwa.
 
Mi ushauri wangu kwa serikali ni kua iilazimishe kampuni ya ACAIA iwauzie wao serikali kwa bei hiyo ambayo ACACIA wanadai yaani Tshs 300Mil kisha yenyewe ikayauze au ikayasafishe kwa hiyo bei inayodhani kua ndio thamani halisi.
Serikali huwa haifanyi biashara.
 
Walitumia Makalio (Masaburi,) ( Nimenukuu maneno ya MAREHEMU Didas Masaburi RIP)
Sijakurupuka ila ukweli ndio huo. JPM anapaswa kuiagiza TRA itumie sheria ya kodi na kuwanyanganya Accacia Leseni ya kuchimba Madini for "under declaration " pia kutaifisha Samahani "to forfeit" hizo containers 277 hata waliosafirisha wataambullia Hewa kwani hiyo kampuni inayosafirisha ni ya kiongozi wa zamani wa Ccm ! Anayechimba hayo Madini ni kampuni za Rostam Aziz na fedha alipewa na Mkapa kwa Mkopo ulodhaminiwa na Serikali ya Tanzania na nahisi fedha haikulipwa huenda ni sehemu ya Deni la Taifa.Kutoka hapo kanyaga twende tutajua jinzi ya kuagana na GGM - Ashanti Gold kule Geita. Tubadadili sheria kwenye Bunge la sasa hivi la Bajeti Mrahaba uwe 50% kama wakisusa "they can pack and go." Tutaminywa na wenye Migodi lakini kiuhalisia hayo Madini ni ya kwetu ni bora tulime kwa meno kuliko kupewa ka mrahaba ka 4%. Watu wote waliowahi kufumba macho tuwanyanganye vyote walivyo navyo pamoja na familia zao tuwaweke kizuizini kama Marehemu Jumbe ! JPM just issue a Presidential Decree tumalizane nao hata ikibidi we can suspend the constitution for one week ? Dunia itatuelewa na ndio fundisho kwa watakaothubutu kula rushwa tena wakiwa Ikulu? Hizo tume ni kutupotezeana muda tu as long John Pombe Magufuli has the political will sisi Wazalendo tuko tayari kufa pamoja na JPM kwani ameonyesha uthubutu tumsamehe ya zamani ila ameahidi kutokutuangusha. Ndio maana hataki kwenda huko kwa Wakubwa kwani hawatakawia kumfanyia walichomfanyia Marehemu Hugo Chavez ! JPM japokuwa umesema hutaki ushauri wa mtu ila for sure usithubutu kwenda huko Ulaya au hata Marekani hata China watakula na wewe sahani moja.? Hakuna cha kupoteza zaidi ya woga ila nasema enough is enough hayo ndiyo mabadilko tuliyohitaji na sio kuzungusha mikono. Tusijali rangi ya Paka as long as anakamata hawa panya tena na kuwala!

Ndugu yangu haya maneno yako hayatoki kwenye akili ya mtu mwizi.Hayatoki kwenye seli za ubongo Wa mtu anayeishi kijanjajanja.Muombe Mungu akuzidishie akili kama hii siku zote za maisha yako.
 
Back
Top Bottom