Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,253
- 34,203
Ficha upumbavu wako.Mkuu huyo Mambo ya kijinga ndio Nani humu haswa
Ficha upumbavu wako.Mkuu huyo Mambo ya kijinga ndio Nani humu haswa
Sipo kwenye Mambo ya kisasa, Nina ushahidi wa Yale aliyoyafanya mazuri ndiyo niliyoyatolea mifanoKwa hiyo leo unajua kuwa na mitazamo iliyo tofauti ni jambo jema?
Je kwann Magu alikua anapoteza walio mpinga?
"...vyombo vya usalama" duuh!Sipo kwenye Mambo ya kisasa, Nina ushahidi wa Yale aliyoyafanya mazuri ndiyo niliyoyatolea mifano
Wewe mwenye ushahidi wa yeye kupoteza watu Ni wakati Sasa wa kuuweka hadharani ili vyombo vya usalama vilifanyie kazi
Wifi ni neno linalo tumika na wanawale. Kwasababu unaita watu mawifi zako je nitakua nimekosea nikisema wewe ni mwanamke?Acha ubwege wifi
kabuli la dikteta magufuliAssallaam aleykum!
Imepita siku moja toka siku ya kuzaliwa mwamba wa Africa mwendazake John Joseph Pombe Magufuli
Pamoja na wasiompenda kuzungumza mengi sana juu yake, kwa upande wangu nimeona nimkumbuke kwa wema alioutendea umma wa watanzania hasa wasiokua na sauti.
Katika kipindi chake nchi ya Tanzania ilikua kinara Afrika kwa upigaji Vita dhidi ya rushwa.
Ikumbukwe chanzo cha kupiga mark time nchi nyingi za kiafrika Ni kuota mizizi kwa rushwa kwa wale walioaminiwa na kupewa madaraka kisimamia Mali za watu wengi
Najua mnajua rushwa ni Nini. Ila kwa faida ya wengi Rushwa Ni kitendo cha tabaka la watu wachache kutumia ama kufuja Mali zetu tulizowapa watulindie kwa matumizi yao binafsi.
Rushwa pia inaambatana na ununuaji wa HAKI yako wewe mwenyewe uliyopaswa uichukue tu bure kiasili bila gharama yoyote
Aah! tuachane na hayo.
Kipindi chake alitekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ambayo Sina haja ya kuitaja hapa na ambayo ilikua Ni ndoto kwa nchi za kiafrika kutekeleza miradi mikubwa Kama hiyo.
Tulipata wageni wengi Marais kutoka pembe mbalimbali za Afrika kuja kumshangaa na kujifunza kwa vitendo (practical training) na kumuuliza the late aliwezaje hayo yote tena kwa kipindi kifupi tu?
Alikaririwa pia na vyombo vya habari Rais mstaafu was awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akitanabaisha kwamba alichokifanya Magufuli kwa miaka Minne Ni kikubwa kuliko Marais wote waliopita combined
Ni wazi kwamba kwa mradi mmoja tu wa ujenzi waa reli ungekua sifa kubwa kwa mtu Kama Rais kuutekeleza, lakini yalitekelezwa makumi ya miradi mikubwa na Hadi umauti unamkuta nadhani alibakisha takriban vijiji visivyozidi 2000 tu kupata umeme
Ni kweli JPM alitufanya wananchi wa kawaida tutembee vifua mbele kwa kufuta kabisa ile kauli kongwe ya unanijua Mimi Ni nani?
Binadamu wote tulionekana kua sawa kipindi chake japo Kuna ma pro politics wanaowaza kwa kutumia matumbo watapinga tu
Watendaji wote walikua wanyenyekevu kwa wananchi wanaowatumikia kuanzia mahospitalini na maeneo mengine ya huduma za kijamii. Wanawake wanaohitaji huduma za uzazi watakua mashahidi walivyokua wanakula makofi kutoka kwa manesi kabla ya Magufuli era
Mambo Ni mengi muda nichache.
Niiombe serikali yetu sikivu,
kwa Nia ya vizazi vijavyo kuelewa kwamba alitokea mtu wa namna ya Magufuli kwenye nchi yetu, mtu aliyesimama na kutukingia kifua mbele ya mataifa mwewe,
Mataifa yenye makucha makubwa ambayo yalitutawala na kuogelea kwenye rasilimali zetu na Sasa yanarudi tena Afrika kwa njia ya urafiki na uwekezaji
Ni wakati Sasa kwa serikali yetu kuifanya nyumba ya milele ya shujaa huyu kua moja ya makumbusho ya KITAIFA
Ili watoto na mataifa ya Afrika yavune mazuri ya kipekee aliyothubutu mwamba huyu
NB
POVU limo
View attachment 1992003
Hata yesu masihi hatunaye hapa ila watu wanajaa madhabahuni kumtamalaki
Majibu ya mabinti wa kwa wahaya haya.Dar kubwa mkuu