Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,884
- 51,698
Hiyo kauli ya kumuacha huwezi mapaka yeye aamue amekujaza upepo mkuu hakuna nguvu inayoishinda nguvu ya MUNGU mzee baba, najua hapo umetetereka mpaka, ila nirahisi sana kama anataka mpambane kiroho, lakini shida ni watoto tu hapo ndiyo uzito ulipo
