Ushauri please

Ushauri please

Duh we acha tu ndugu yangu nakingine dini tofauti ila tulikubaliana akija kukaa kwangu tutaanza kusali katika dini yangu kwa maana hiyo alikubali kubadili dini ila kafika kwangu naona kama nikimwambia habari hizo anazipotezea kiaina hata tukianza kula mimi naposali yeye anasema kishasali yaani mimi nasali yeye alishaanza kula

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni Kweli? Au Umeleta Chai
 
Kwanza jifanye unabadili msimamo kwa kujifanya unamuunga mkono. Halfu mdogo mdogo unmuomba Mungu huku ukimsihi apunguze hayo mambo. Kumuacha huwezi. Kausha naye tu as long as haiathiri maendeleo yako.



Sent using my Nokia Torch
 
Nina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua nimshirikina mbwa yaani nishiriki mbwa naposema nimshirikina jamani mnielewe kuwa nimshirikina balaaa nimegundua baada yakuanza kuishi nae. Katika makuzi yangu sikuwahi kuwaza hayo mambo kabisa nawala sijawahi kuomba nipate mwanamke mwenye imani hizo.

NB: nimejaribu mara kadhaa kumkanya ila yeye ndio amekuwa akinishangaa mimi, yaani ananiona kama mshamba flani hivi. Yaani nimeona uwezekano wayeye kubadili mwenendo naona hawezi kubadilika kabisa.

Sasa jamani huyu mwanamke namuachaje natayari mda sio mrefu atakuwa nawatoto wawili namimi? Naameshaniambia kumuacha haiwezekani labda yeye ndio aamue. Naombeni ushauri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu embu funguka mshirikina kiaje anakuloga wewe na watoto wako au, au anatumia ushirikina kwa ajili ya kukuza kipato chake au inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jifanye unabadili msimamo kwa kujifanya unamuunga mkono. Halfu mdogo mdogo unmuomba Mungu huku ukimsihi apunguze hayo mambo. Kumuacha huwezi. Kausha naye tu as long as haiathiri maendeleo yako.



Sent using my Nokia Torch
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom