Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

I will try this. Kaka ni mpole flani amazing. Very loving.
Kuogelea? Watoto wadogo wakaogelee mmmh


Cha msingi umri huo wajengee tabia ya kupendana usiwaache wakwaruzane bila kuwakaripia

Pia kama ni mkristo anza kuwafundisha neno la Mungu jinsi ya kusali,kutotukanana,kutochukua vitu bila kupewa ,jinsi ya kusalimu kwa heshima,etc
 
Yaani hizo ngumi tu ndo zinanichocha. Wangu ni watundu naturally and I know they got it from me.
Pia wazazi waombeeni watoto wakabidhini mikononi mwa BWANA ili wakue salama bila madhara yoyote mana shetani anapitiaga humo mnamoita utundu kuangamiza
 
watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha
I was between a sister and brother. The same thing was happening.
 
Thi
remind me of me and my young bro..Tulichapana sana back in the days,as usual mdogo ndo uwa mkorofi ilifika time I used to hate him usipokua kuwa makini they will end up hating each other hata ukubwana mi nakupa real experience.Ukitaka kuwawin at the age of 10 mmoja peleka boarding school mwingine back nae..They will surely miss each other na ugomvi finally utaisha
 
ni kawaida sana kama walivosema member waliofuata hapo. nakupa pole Karucee maana muda wa kuinjoy na mumeo ni muda ambao watoto wameenda nursery tu. muda uliobakia ni full fujo ndani mpaka saa tano usiku. ushauri usiache vitu vya hatari kama kisu, kiwembe, msumari n.k katika mazingira ya kawaida. hebu niambie mpaka sasa umeshanunua simu ngapi?
 
kawaida na Mara nyingi mdogo ndo anakuwaga mtata
wa kwangu ni wanawake Ila wanapigana balaa
 
Watoto wadogo kabisa wanaogelea mkuu

 
 
kwetu tumezliwa mimi na kaka yangu, katika maisha yetu tumepigana nahisi kuliko siblings wote dunia nzima hadi mtaani walitujua, ilikuwa haipiti wiki hatujakinukisha alikuwa akinizidi nguvu naokota mawe nanukisha mtaa mzima jamaa hadi leo anakovu langu kichwani mama yetu alikua hadi analia akihisi kuna siku tutauana, ila sasa tumekua we are friends ila hamna vya kuzinguana!
 
Sitasahau mdogo wangu alivyonikimbiza na mwiko barabara kuu ya Songea. Popote ulipo Nakupenda sana mdogo wangu.
 
Ndiyo muda wao sasa hivi... Huwezi kufanya kitu... Wataacha wenyewe...
 
Watoto wanaopigana mbele ya baba yao baadae kuna uwezekano mkubwa wakawa na tabia zinazopishana na jamii ya wastaarabu. Mtoto anapigana na mwenzake huku babake akishuhudia na kuwapigia makofi huyo ni sawa na mtoto asiye na baba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…