roja24
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 634
- 410
Peleka kwao fasta au kwenye maombi
Hili ndo neno.
Peleka kwao fasta au kwenye maombi
Jamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.
pole lakini kame wewe
si mjamzito mtoto wa kazi wa nini jamani! umrudishe tu kwao atakusumbua
sana huyo
Anamtamani mumeo huyo,kama unabisha hebu mkabidhi mumeo hilo suala,wiki moja tu kwisha habari!
huyo sio, kama sio mwanga bac mchawi ludisha akawange mbele huko atakualibia maishaJamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.
Asanteb kwa ushauri wadau nadhani mpaka sahivi nimeshapata uamuzi nini cha kufanya kupitia ushauri wenu.wengi wamehoji kwanini nimetafuta ushauri while ningeweza chukua maamuzi ya kumuondoa mm mwenyewe lakini sikuweza fanya uamuzi wa haraka kwa kuwa nilikuwa njiapanda.binafsi maisha yangu mpaka kufika hapa nilipitia matatzo na kwa wakati ule sikupata mshauri.japo si ya aina hii lakini ni maisha ya kunung'unika,ukimya na hata kulia sikuwa na mtu wa kunishauri.nilihisi bila ya kumsaidia huyu binti inanikumbusha maisha niliyoishi.maisha ya kukimbiwa na mzazi(baba) nikahangaika na wadogo zangu nikimsaidia mama kufanya biashara ndogo ndogo huku nikiwa shule ya msingi.so muda mwingi nilikuwa mtu wa huzuni na masikitiko.asanteni kwa ushauri mbarikiwe!
sasa ananambia anashida sana nikimridisha kwao jumla maisha yake ni mabaya na ametafuta kazi ili ajisaidie.analia ukimuona hadi huruma itakuingia kweli ananiweka njia panda