Ushauri please:housegal wangu ananitisha!!!

Ushauri please:housegal wangu ananitisha!!!

Mimi nasikitika uvivu wako tu, yaani huna mtoto/familia kubwa lakini unaona huwezi ishi bila h/girl? Au ndie nyie ambao mmekulia zile familia za kitajiri mkifuliwa hadi nguo za ndani!
 
Mimi nasikitika uvivu wako tu, yaani huna mtoto/familia kubwa lakini unaona huwezi ishi bila h/girl? Au ndie nyie ambao mmekulia zile familia za kitajiri mkifuliwa hadi nguo za ndani!

Ukisoma post zangu za mbele utaelewa kwanini niliamua uamuzi wa kuishi nae o kuwa na housegal.
 
Mrudishe kwao huyo. Au subiri makubwa zaidi.
Hv wazungu nao huwa wana mashetani au nu huku kwetu tu?
 
hadi muda huu nadhani umeshajua cha kufanya, wewe mwnyw ushaona "mashetani" ya housegirl wako na nadhani yashakuchosha, tushakupa ushauri kuwa umuondea

but me naona unajihurumia ww na ujauzito wako na kusahau "mashetani" ya housegirl

kumbuka ukimuonea huruma eti kisa unakumbuka maisha yako ya nyuma huruma inakujaa ndo ukae nae ipo siku utajifungua umuachie mtoto af utakuta "mashetani" yamemwambia amuue mtoto
 
wafanyakazi wa ndani siku hizi wamekuwa na vituko sana kama vp mpeleke kwenye maombi.
 
Huna mtoto, mko wawili wewe na mme wako house girl wa nini? mpaka awanyime uhuru wa kujinafasi!! Mi nakushauri huyo mrudishe nyumbani kwao na utafute mwingine ambaye ni mzuri na mchangamfu anayeweza kukusaidia kazi zoooote! maana inaonyesha unachoka sana, polee!
 
Jamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.

Pole kwa changamoto ulionayo...siku zote wanasema ukipata tatizo/changamoto nawe pia unakuwa ni sehemu kwa kuchangia japo kwa kiasi fulani. Uko peke yako na mumeo..ni kazi gani hizo zinazopelekea kulazimika kuwa na msaidizi. Kama unaishi ktk kasri kubwa sana tafuta kijana mvulana akusaidie maswala ya usafi kama ndio upishi unategea wadada mapema namna hii nakuakikishia hiyo utaikaribisha changamoto nyingi zaidi ya hilo la kupata mtu mwenye pepo wachafu.

Kwa vyovyote vile hali ulionayo si nzuri kabisa. Nakushauri jitahidi kufanya kazi za ndani walau kipindi hiki ambacho mpo wawili. Tumia mikakati tofauti labda kama ni swala kufua basi wala mara mbili kwa wiki uwe na mtu anakuja kufua na kufanya usafi mwingine nk. Kuhusu huyo the best way ni kumsaidia aondokane na pepo wachafu si kurudisha akaendelee kuteseka. Kama unajali fanya utaratibu aombewe period.
 
.......Huna mtoto, msichana wa kazi wa nini? Hata kama una mimba sijaona sababu ya wewe kuwa na msichana.
 
Maswali ya kujiuliza.
1. ulimtoa kwao au uliletewa?
2. ndg ze walishawahi kukwambia anamapepo?
3. Latba yake hapo nyumabin kwako ipoje? je anauhuru wa kutosha au?
4. Latba ya wewe na mumeo ipoje?
5. Aliwahi kuolewa kabla/ anamchumba?
6.Alikuja kwako akiwa na ufahamu na kazi za ndani au?
7. Wewe binafsi ni njia zpi unazotumia kumfundisha, mfn. Umeosha vyombo we mjinga, unakula sana na ivi kwenu havikuwepo, Mbele ya wageni nenda ukaoge unanuka, umevunja glass nakukata kwenye mshara we -------- na maengine mengi ya namna hyo. Nmekuokota kwenu huna mbele wala nyuma.
200% wanawake walio wengi huchukulia umasikini alionao mfanyakazi wake na kutaka kutumia nyanja hiyo kumnyanyasa tumia KHEKIMA KUISHI NA MWANADAMUMWEZIO.
Kwa uwezo niliojaliwa huyo binti hana pepo wala jini ila kuna namna ya maisha anayoishi hapo hayakumpa faraja Chukua nafasi kuchunguza la sivyo utafukuza huyo utakutana na kibaka wa kike. ( Kwa kuboresha ndoa yako changa epuka wasaidizi jarbu kukomaa mwenyewe na kupangilia shughuli zako la sivyo Mdogo wangu utaja lia:frusty:.
 
Jamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.

Swtlady: Mrudishe kwao huyu binti. Ndugu yangu ana housegirl ambaye anahayo mashetani kama ya hs girl wako. Imekuwa ni kimbembe, kial siku anapandisha mashetani wakitokea watu wa maombi, wa-sala, wenye rosari zilizobarikiwa na maji ya baraka (wakatoliki wanaelewa). Solution imekuwa ni maombi kwa sana ili hayo mashetani yatoke. Mwisho wa siku imebidi arudishwe kwao, kwa wazazi wake, kwa sababu ya kuogopa consequences za kumuacha peke yake nyumbani, kwani mashetani yanaweza kumtuma akafanya chochote wakati wahusika hawapo home!!!
 
Inaonyesha kama anakuzidi nguvu kwa ushawishi wake wa kulia na kutia simanzi. Lakini kimsingi hizo tabia anazozionesha si za kawaida na wala usingeomba hata ushauri huyo ni wa kufanya kumfukuza, ukishindwa si umwambie mumeo, kama wote mna huruma msiyoijua imetokea wapi ya kukubali kukaa na mashetani, niite mm nitamfukuza bila huruma, utachekaje na nyani unataka nn zaidi ya kuvuna mabua, huyo anawatafutia saiti tu na atawatenda jambo ambalo hamtapaswa kulijutia, si kwamba nakutisha hapana, ila hamna cha ushauri zaidi ya kumfukuza, mnapoendelea kumuachia anawasoma huyo, lazima awalize kama si kibinadamu basi kishetani.
 
Wewe!bado unaye tu?unasubiri siku akufyonze maini ndio ujue kuwa huyo ni type ya kaa nae mbali?mtoe mtoe bibi ala!
 
watu wako hopeless kweli yaani wanakushauri umuludishie nyumbani,hapana umuludishie
mpeleke kwa mzee wa upako au kwa kakobe akaombwe
issue yako mbona ndogo sana

Umeshatajiwa mpaka imani yake wewe huelewi nini hapo!!!!!!

Kweli hopeless imekuwa na.maana nyingi sasa!!!!!!
 
Siku hizi wafanyakazi hawaaminiki kama umemtilia mashaka mrudishe
Kwa na hivi mtoto unaweza kujipanga
 
Jamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.

Mashetani yake yataingilia ndoa yako utagombana na mumeo kila siku. the first reation is always the best. Mpeleke kwa maombi haya majini na mizimu yake itoke akikataa mrudishe kwao moja kwa moja. Ukidanganyika kumrudisha kwao kwa siku mbili atakaporudi atakuja na sumbu mbaya kwa familia yako. Hayo majini yatakupaint ubaya ili mumeo asiappriiate kila unachofanya na mwisho ndoa yenu itakuwa na migogoro sana.
 
Kama mpo wawili tu ya nini huyo hausigeli aliyekengeuka? tena mbona ni kama mnajiwekea kiwingu wenyewe kujinyima freedom, mtashindwa kupiga hata gemu za kwenye kochi au jikoni kisa hausigeli. Jiachieni wenyewe mle raha, mkipata watoto mjakuja tu kusoma kwenye magazeti ya shogongo kuwa kuna style za kwenye makochi nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom