Ushauri: Pete ya ndoa

Ushauri: Pete ya ndoa

20160728_203049.jpg
20160728_203049.jpg
Na mimi je?

Wewe yako hii hapa...
 
Kumbe nawe unalichukia li Nyani Ngabu😀😀😀.

Mngeanzisha chama chenu kabisa....Chama Cha Wanaolichukia Li Nyani Ngabu [CCWLNN].

Sijui hata mko wangapi ila nahisi mwaweza kuwa wengi.

Manake uko wewe, yule kakako, na kale ka nanihino, yule naniliu, na wengineo.
Mi nakupenda Nyani Ngabu,achana nao hao
 
0a236eb959ce893584f02ea68bcc00ab.jpg


Wacheck hao mkuu . Nimekuta insta wana vitu vizuri.
 
Back
Top Bottom