Ushauri: Pete ya ndoa

Kumbe nawe unalichukia li Nyani Ngabu:D:D:D.

Mngeanzisha chama chenu kabisa....Chama Cha Wanaolichukia Li Nyani Ngabu [CCWLNN].

Sijui hata mko wangapi ila nahisi mwaweza kuwa wengi.

Manake uko wewe, yule kakako, na kale ka nanihino, yule naniliu, na wengineo.
Soon tunaanzisha... Muone kwanza yani skupendi wewe basi
 
Akaulizie kwa masonara huko,mfuko wake utaamua.
Mimi mara ya mwisho kuulizia gold ilikuwa 1 gram= 75,000/ Tshs mwaka jana.
Gram moja ya dhahabu ni kati ya 100000 hadi 120000, na hiyo cutting ya kidani cha diamond au tanzanite ni ujazo wake anataka uweje au aandikiwe majina kwenye pete zake , ni yeye tu
 
Mkuu nakushauri achana na mawazo ya Nyani Ngabu utapotea hiyo ring anayokushauri nzuri iko hadi dollar 7000 around million 15 sasa kwa unavoonekana kamati yako haizidi tsh milioni 3 kwa harusi nzima nakushauri uchukue gold wedding ring na ukishindwa tafuta caption zake.
 
Hahahaaa haya bana....nadhani nimetoa ushauri kulingana na prism yangu.
 
Hahahaaa haya bana....nadhani nimetoa ushauri kulingana na prism yangu.
Nilishakueleza humu wengi wetu ni wanafunzi na tumepanga chumba kimoja mjini au tunafanya kazi na mshahara wetu ni dollar 500 kwa mwezi hasa exposed advises kama hizo unatupotezea muda wetu , au slogan ya jf kila mmoja ana degree, au tunavyoandika sisi ni wafanyabiashara, au tunavojiandikisha leo foleni wewe unajua sote tuko njema? Nyani Ngabu nakusalimia tu mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hivi naanzaje kumchukia kaka yangu jamani

Hii ushaipata bila hata kuomba!

VivaLaJuicyRoseReview.jpg
 
Nashkuru nyote nimepata mawili matatu japo sikuwa mhusika wa uzi huu. Ajifunzae hachoki kuuliza.
 
Back
Top Bottom