Nakushukuru mkuuKuna kipind niliweza kuacha, kwa miez 6 hivi.
Ila nikashindwa na kurudia bia tena, ila sio kama hapo awali.
Sasahiv nakunywa ila mara moja kwa wiki, Ijumaa au jumamosi. Na sion kama zinashida.
Nilijaribu kutafakari sana kipind kile nakunywa sana, kipind ambacho sikunywa na kipindi hiki nachokunywa kwa wastani. Pia kutafakar na wanywaji wengine.
Nimegundua kuwa 1. wengi hunywa bia kama kipoteza muda (kufuata kampan za bia ni kama zile vilinge vya wanywa kahawa, wacheza Draft, waangalia mpira nk) , 2. au weng hunywa kama kiburudisho (starehe). 3. Na wengine ni kipoteza mawazo (stress) hii ndio mbaya zaid.
Ila ile sababu inayokufanya unywe bia hata uliposema hunywi ndio hasa unatakiwa kuanzia kuifanyia kazi.
Kama ni kampan, iteme mdogo mdogo,
Kama ni starehe tafut starehe nyingine
Kama ni stress fanya mazoez au kuwa busy kuipotezea.
Mm ilikuwa kampan kupoteza muda na starehe.
Niliacha kampan na nilitafuta hobby nyingne na nikaweza.
Kila la kheri, inawezekana ila anza kidogo kidogo.
AsanteRahis Sana,... Amua tu, nliamua tu sku
moja tu tar 1 march 2014 stak
tena pombe na had leo nimeweza..... Amuaa tu mkuu, hamna habar ya kuacha kdogokdogo wala vsngzio hapo n kuamua tu. All the best
Vyovyote tu mkuu.cha msingi kila mmoja ashike hamsini zakeMi nikajua unataka ushauri wa pombe iachane na wewe kumbe wewe ndio unataka kuiacha!!
aiseeeMakanyagio,
Mwache apige kilaji - Maendeleo hayaji kwa kutokunywa pombe bali kwa kukosa mipango madhubuti ya maisha yako mwenyewe!
Dawa gani hiyo mkuu?Nimetoka kunywa hio dawa leo siku ya 10 sijagusa pombe wala hamu ya pombe haipo kabisa. Zilikuwa haipiti siku 2. Nasubiri ifike miezi 6 niidhibitishe kuwa ni dawa kweli
Kuna kunywa kistaarabu na ulevi Mbwa Sasa hivi ni vitu viwili tofauti...........Dawa yake siku atakapokunywa akaangusha gari watu wakavunja duka ataacha siku hiyohiyo kuna mifano mingi tu ya aina hiyo hakuna dawa zaidi, viginevyo ni maombi tu mpigieni maombi ya nguvu
Niko nikipona kabisa ndio nitaireccomend hapa. Naifanyia testing kwangu kwanzaDawa gani hiyo mkuu?
Sawa Mkuu.Niko nikipona kabisa ndio nitaireccomend hapa. Naifanyia testing kwangu kwanza