xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,132
- 7,362
KaribAsante mkuu kwa ushauri wako nitaku pm mku unishauri kuhusu hiloo
KaribAsante mkuu kwa ushauri wako nitaku pm mku unishauri kuhusu hiloo
Asante mku priciallah mm malengo yangu nikuwa mfanyabiashara mkubwaWewe malengo yako ni yapi? Tuanzie hapo kwanza
Na shukuru mkuu kwa ushauri waku ila na elimu kdg kuhusu mambo ya hisa naomba unijuz zaid taratibu zake yani nianze vip mpk na mm kumiliki hisa km hk tbl na vodaWakati bado ukiwa unatafakali ufanye nini,nunua Government bond au Hisa kama za Voda,Tbl etc huku ukizichungulia ikitokea zimepanda hata kwa miambili unauza utapata pesa zaidi
Asante sn mkuu nuclear kwa ushauri wako mzuri na wakutia moyo nitazingati ushauri wako ndug asante snNunua kiwanja jenga apartment ndogo ndogo kama mbili au tatu za chumba mbili na sebule kutegemea na gharama za ujenzi ulipo unaweza pangisha kuanzia 150,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi. Huo ndio uwekezaji rahisi kwa begginers wa investment.
Pia unaweza ukagawa hiyo pesa kidogo ukanunua shamba kama ekari 20 ukalima, kukodisha au kushikia pesa yako tu maana ardhi inaongezeka dhamani kila siku pia ni urithi nzuri kwa wanao.
Usikatishwe tamaa na watu wenye wivu wanaojibu vibaya. Kama hiyo pesa ni ya halali hongera sana bro big up, well done umri mdogo mafanikio makubwa I'm proud of you hata kama sikujui ila nakuombea kwa Mungu kama kipato chako ni halali utakuja kuwa Bilionea muda mfupi ukiwa na malengo na dira.
Kingine weka malengo katika maisha yako, orodhesha kwenye diary yako vitu unavyotaka kumiliki au kufanya kuanzia muhimu zaidi hadi cha mwisho ili ukipata pesa tu usiyumbe uielekeze huko. Thanks, Big Up
AsanteNitajihadhari.
Tanzania ya viwandaUnakaa nchi gani kwanza?
Sasa ufanye utafiti kuhusu biashara unayotaka kuifanya na ujipange ili kuhakikisha unafanikiwa kwenye hiyo biashara.Kumbuka kumshirikisha Mungu katika kila hatuaAsante mku priciallah mm malengo yangu nikuwa mfanyabiashara mkubwa
Kila la heri mkuuAsante sn mkuu nuclear kwa ushauri wako mzuri na wakutia moyo nitazingati ushauri wako ndug asante sn