Ushauri nipo njia panda ndugu zangu

Ushauri nipo njia panda ndugu zangu

Nunua kiwanja jenga apartment ndogo ndogo kama mbili au tatu za chumba mbili na sebule kutegemea na gharama za ujenzi ulipo unaweza pangisha kuanzia 150,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi. Huo ndio uwekezaji rahisi kwa begginers wa investment.

Pia unaweza ukagawa hiyo pesa kidogo ukanunua shamba kama ekari 20 ukalima, kukodisha au kushikia pesa yako tu maana ardhi inaongezeka dhamani kila siku pia ni urithi nzuri kwa wanao.

Usikatishwe tamaa na watu wenye wivu wanaojibu vibaya. Kama hiyo pesa ni ya halali hongera sana bro big up, well done umri mdogo mafanikio makubwa I'm proud of you hata kama sikujui ila nakuombea kwa Mungu kama kipato chako ni halali utakuja kuwa Bilionea muda mfupi ukiwa na malengo na dira.

Kingine weka malengo katika maisha yako, orodhesha kwenye diary yako vitu unavyotaka kumiliki au kufanya kuanzia muhimu zaidi hadi cha mwisho ili ukipata pesa tu usiyumbe uielekeze huko. Thanks, Big Up
 
Huna wazazi/walezi, kaka, dada binamu au ndugu wa karibu wanaoweza kukushauri vizuri kabla hujakuja huku?

Kuwa makini huku JF unaweza kuombwa assist PM.
Asante mkuu junior nitajihazari kwa hiloo
 
Cha kufanya iweke tu na ukusanye nyingine zifike 56 baada ya miaka miwili..(jokes)

Nenda china chukua mzigo kias,au dubai chukua phone accesories njoo tuumize huku,na hyo kaz nadhan utaacha kabsa
Asante mkuu kwa ushauri wako nitaku pm mku unishauri kuhusu hiloo
 
Hii mada siiamini kabisa, yaan mwaka 1 una 28 mil, tena mbali na mkopo.

Unasaka mchuchu kwa staili hii, [emoji16] [emoji16]
Sikuipata kwa kutegemea mshara na km ingekuwa nimshahara nisingekuwa ht na milion mbili mkuu na sikueleza hivyo mkuu
 
Mshahara laki tano na usheee,ila kapata nadhan sehem nyingine 28 ml halaf anaweza kuchukua 15m mkopo,nikimpigia hesab kama mkopo kwa salary slip sidhan kama inafika kuweza kupewa 15ml,,kuna kajiukakas japo kupata hela haiangalii umri
Asante mku kwa uchambuz wako unaonekan ni mtu makini naomba ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom