Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,349
Ubora wa gari haupimwi kwa Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na muonekano...kuna mabo mengi zaidi ya hayo...Huwezi kufananisha hizo gari na IST in terms of :- MUONEKANO, ULAJI WA MAFUTA, UPATIKANAJI WA VIFAA...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Nomba utofautishe RELIABILITY na DURABILITY..
Vigezo ulivyovitaja ni vigezo vinavyomuwezesha mtu wa chini na yeye aweze kumiliki Usafiri...
Na ndiyo maana ukisikia mtu analia lia Nissan, Vw, Bmw hazifai....jua wazi mtu huyo uchumi wake haujakaa vizuri kumiliki magari husika coz spea zake ni ghali
Only that.....
Sent using Jamii Forums mobile app