Ushauri: Nina million 10 nahitaji gari ya kutembelea

Huwezi kufananisha hizo gari na IST in terms of :- MUONEKANO, ULAJI WA MAFUTA, UPATIKANAJI WA VIFAA...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Ubora wa gari haupimwi kwa Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na muonekano...kuna mabo mengi zaidi ya hayo...
Nomba utofautishe RELIABILITY na DURABILITY..

Vigezo ulivyovitaja ni vigezo vinavyomuwezesha mtu wa chini na yeye aweze kumiliki Usafiri...

Na ndiyo maana ukisikia mtu analia lia Nissan, Vw, Bmw hazifai....jua wazi mtu huyo uchumi wake haujakaa vizuri kumiliki magari husika coz spea zake ni ghali
Only that.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili gari linapondwa sana na washamba lakini ni gari bora na stable kwa min car zote kwa sasa bongo...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Gari ni zuri ndiyo. Lakini liko chini sana. Sehemu zenye barabara za mashimo na hasa wakati wa mvua ist haifai, bora hata cami.
 
Heri ya mwaka mpya wakuu niwatakie 2020 yenye mafanikio tele kimwili na kiroho.

Haya back to the subject, mimi ni mzoefu wa magari kiasi fulani hapa nimekuja nipate mawazo ya wadau ili kuongeza options, budget ni Milioni 10 hebu naombeni recommendation ya gari ipi itanifaa kwa bei hiyo.

Ahsanteni na Weekend njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
BAJAJI, TVS Mpyaaaa. Na pesa inabaki
 
IMG_3608.JPG
 
Back
Top Bottom