ushauri...nimetembea na wanaume wawilii!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,673
Reaction score
4,324
Mzuka wana JF

Habari Nina mdogo wangu katembea na wanaume wawili kwa siku moja kwa mda tofauti tofaut alafu alikuwa kwenye siku zake za Atari anauliza akipata mimba mtoto anaweza kufanana na wakwanz au wapili anaomba ushauri
 

Yule wa kwanza ndo ana asilimia kubwa za kumpa mimba labda awe na shida tu huyo mwaume! Onyo: aache umalaya huo mara moja! bureeee kabisaaaa!
 
Kweli Wanaume tumeanza kupoteza nguvu, yaani utembee na Mwanamke halafu apate nguvu za kwenda kutembea na Mwanaume mwingine ๐Ÿ™Œ

Inatakiwa akija kwako hakikisha unamwachia nguvu za kuvalia nguo tu ๐Ÿ˜œ

Anyways, kujua Baba wa mtoto mwambie asubiri kuwapima DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ