ushauri...nimetembea na wanaume wawilii!

ushauri...nimetembea na wanaume wawilii!

Mzuka wana JF

Habari Nina mdogo wangu katembea na wanaume wawili kwa siku moja kwa mda tofauti tofaut alafu alikuwa kwenye siku zake za Atari anauliza akipata mimba mtoto anaweza kufanana na wakwanz au wapili anaomba ushauri
Atafanana na shetani mkuu
 
Alikuwa anataka u handsome wa boy wa kwanza akagundua huyo boy ana mapungufu ya lips Pana....akakumbuka boy wa pili analips pana akaenda kushenyentwa pia ili azae mtoto mchanganyiko
Umemaliza 😁😁😁
 
Wanawake wa sasa hawaridhiki hata uwapakie mkongo,
Video za ngono zinawaharibu sana ndiyo mana wengi wao wanaishia kufirwa hasa wake za watu!
 
Back
Top Bottom