Ushauri: Nimesusiwa mtoto wa miaka mitatu

Ushauri: Nimesusiwa mtoto wa miaka mitatu

Hakuna sababu ya kumfanya mtoto asikue,kama ilipangwa aishi ataishi hata na wewe ukimuacha peke yake.
 
Nimesusiwa mtoto wa miaka 3. Je, atakua?
hahahaha unachekesha sana wewe kwanza ni wa kiume ama wa kike wewe?
na kwanini umesusiwa?

MIE SIJAWAHI KULELEWA NA WANAUME NILIACHANA NAYE NIKIWA NA MIMBA YA MIEZ 3 NA MTOTO ANA MIAKA 5 SASA................. NASUBIRI WAKATI NAMUOZA BINTI YANGU AJE ADAI MAHARI 😱😱😱😱😛😀😀😀😀
 
#NATAFUTA KIKI...

mleta uzi anataka apate kura kwa socal net,
ajulikane kama lara 1 ama mshana jr,
kiki ipi njema ama mtoto kasuswa..

*in rayvany voice wa WCB
 
we me/ke?,,,km ke pole maana ndo usingo maza ila km ni me polee sana maana utatambua thaman ya huyo mwanamke...ww ni singo dadiii
 
Nimesusiwa mtoto wa miaka 3. Je, atakua?
Labda kama una mpango wa kumuua ndio hatakua. Au umesahau wewe unahitaji nini ili uishi? Na yeye ni hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom