Ushauri: Nimesusiwa mtoto wa miaka mitatu

Atakua tu! Fikiria wale wanaofiwa na mama zao wangali wachanga wanawezaje kukua uyo wako akashindwa kukua? Mpe malezi bora mpe upendo mpe chakula bora na zaidi muhakikishie usalama wake wa kulindwa na kupewa haki zote za watoto utashangaa tu kijana uyoo kama mchicha unavyochipua
 
Saf sana ushaur wako unatia moyo na huenda shule unayo kichwan kuna mengne likikurupuka kujibu kama linaota lakn nikapata majibu kuwa watu kama hao shule 0
 
Miaka mitatu mbona tayari ni mzee! nilisha susiwa mimba ya miezi 4!
 
Saf sana ushaur wako unatia moyo na huenda shule unayo kichwan kuna mengne likikurupuka kujibu kama linaota lakn nikapata majibu kuwa watu kama hao shule 0
Asante Mkuu kwa kukubali ushauri wangu, Nakutakia malez bora
 
Back
Top Bottom