sikususiii mtoto utalea tu na mimi siondoki alaaa.Mimi natamani anisusie ili nimlee mwenyewe. Sema jimwanamke lenyewe jeuri kinoma
umejuaje damu yake?Na we unataka kumsusia nan ? Komaa iyo dam yako alaf uyu mkubwa kabisa we mlee to ki roho safi atakua
sikususiii mtoto utalea tu na mimi siondoki alaaa.
Kuna wadada watata kinoma noma
Ha! ha! eti Chukua mzigo wako!Nimesusiwa mtoto wa miaka 3. Je, atakua?
IPO sababu ya wew kususiwa Mtoto jichunguze vizuri
Nimesusiwa mtoto wa miaka 3. Je, atakua?
huyo ndo basi tena atabaki na miaka yake hiyo hiyo mitatu hatokua

Wazanzibari mawazo yao ya Kitoto sana Kwa Uharo/Utoko huu Tanganyika tutaitawala Zanzibar Milele Mpaka mtakapopata akili.Ungeomba ushauri wakati wa kugegedana ingekuwa bora zaidi.
Ila nakushauri muone Sugu wa Chadema atakuopa namna ya kule watoto wa aina hizi.
Kwani umeambiwa ukuwaji unachangiwa na kususiwa? We lea tu.Nimesusiwa mtoto wa miaka 3. Je, atakua?
Jane mekumic hadi nasikia vibayaAtakua rais.
Bona umeweka kifupi sana maelezo yako? hukususiwa tuu bila sababu,wewe ni Baba au Mama mtoto?Nimesusiwa mtoto wa miaka 3. Je, atakua?
Mpeleke kwa mama yako atamlea. Sasa uache utundu ujipange vizuri kimaisha. Umeshakuwa na majukumu.Duuuu janga