Ushauri: Nimepiga mtu kisa usaliti wa mapenzi

Ondoa dhana ya kumiliki "K"
Inamilikiwa na wanawake tu!

Ukiihitaji Itumie ikiingia kwenye 18 zako.
HAKUNA MATATA.
 
pole sana mkuu!kwanza nafurahi umejua una matatizo na ukakiri!hilo litakusaidia upone!nadhan umempiga wifi kwa hiyo

inferior ya shida yako!kakosea kwakweli!majitu yanapendwa hayajitambui!..na ww umekosea jitahidi umwache AENDE!
nilishamuasha akaja kuniamshia Dude Ghetto kwa kilio cha ha ya Juuuu nikasema Lets Give a chance mana hata mim nina mapangufu nimsamehe ila within a week karudia kitu kilele alaf huwa na mualert kabisa angalia na Unayemdanganye
 
ulimpenda maskini! naudhika sn na mtu anaekupenda alafu usijitambue na kumthamini!usirudiane nae tena !
 
hawez rud mana akirud ntamvunja Taya nilimuambia next time nikiona Cmu yako kwng naeza MUUUA nikiachana na mtu huwa nataka apite Fute 100 na mim
 
Haaa kuwa makini mkuu usije ishia ndan bure kisa mwanamke!wanawake akili zetu baadhi tunazijua wenyewe!....futa kila kitu chake utamsahau!a ukitaka umsahau ex wako kumbukia mabaya yake!usikumbukie mazuri yake!
 
Sit back
Relax
then rewrite

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Haaa kuwa makini mkuu usije ishia ndan bure kisa mwanamke!wanawake akili zetu baadhi tunazijua wenyewe!....futa kila kitu chake utamsahau!a ukitaka umsahau ex wako kumbukia mabaya yake!usikumbukie mazuri yake!
hana iyo Jeuri mana akienda uko na yeye anakesi ya Kujibu yan nikifikir anavyofanya namuona bonge la mjinga.....
 
Pole mkuu ila naomba kwa sani yakonikulize, huko vizuri kua mijamboz huyawezi,unachoka mapema,jogoo hapandi mtungi,pirika zake mdada huziwezi kwenye kitanda au dakika 3 umemaliza na ukimaliza hurejei tena ndio mpaka mjaliwae au hujisikii kufanya? simanishi kwa ubaya ki roho safi tuu..
 
huko vizuri kivipi,,, husimamishi, au mpaka uguswe, au huna hisia au mlalia shimoni au, au , au???hujui kupump?? weka akili sawa katafute tiba..... ushajitambua wacha fujo za kipuuzi,,,,mwanamke hapigwi, anaonywa tuu....akizingua unampisha apite.....utapiga wangapi broo??? na hizo pombe ndo unajiongezea tatizo B,,, A hujasolve kumbuka....
 
Habari wakuu kwema,,, Miezi michache iliyopita kama 7 mpk sasa nilipta dada mmoja iv ila nilikuwa na wasi wasi maana niliona kama kanizid akil mana kapitia ving nilimkatalia akanilazimisha nikaona fresh so tukawa nae nikampa moyo wangu wote man nilikuwa sitak kubanduka kwake nilimpenda kuliko kawaida.

Lakin nilikuja gungua mim ni daraja lake mafanikio maana kitandani honestly nilikuwa siko vzr nikamwambia ok ntafind tiba ila usifanyie maksudi lakin hakusikia, nikawa nasikia kwa watu mara yupo na nan sijui anamsindikiza nani nikaona ok sina haja kujibizana nikawa kimya sas boss wake alisafiri kumbe alikuwa anatembea nae nilishajua hilo ndo maana nikataka kuachana kwa aman hakuelewa akaja kwangu analia sana nikamwambia nenda mana machoz hayasaidii akaenda akarud na kilio mara mbil nikaona isiwe shida nimsamehe atajirekebisha ila nikasema nitamfuatilia nikamfuatilia nikamuona boss wake anakuja kwako kama saa nne akalala mpk asubuh sikutaka kuleta varangati nikachukuka malapa ya nikatupa sasa huyu demu anakejel anajaribu ili kunisumbua nilishauadi nikamuambia ukifanya kitu mbya ntakufanyia kitu kibaya hutakaa unisahau....

Leo nipiga pombe kdg nikamfuta kwako nikampiga simu nikaona anajibu nusu nusu nikaingia mlangoni nikagonga alivyotoka nilimpa kibao moja nikamsukuma nikamwambia kesho nikiona simu yako kwako kwangu ntamuuua nikasepa niambien wakuu kama nimekosea.....

NOTE; I Hate being cheated mana sijawah hata kumsalit nampa chance kibao kwanin afanye ivyo asaiv hasira 0%......

Nawasilisha Wakuu
[emoji121]
MKUU,

ACHA UJINGA,
PAMBANA NA HALI YAKO!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • FB_IMG_1500794406075.jpg
    FB_IMG_1500794406075.jpg
    61.4 KB · Views: 27

Umriiii wako mkuu kama hutojali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom