Ushauri: Nimepiga mtu kisa usaliti wa mapenzi

Ushauri: Nimepiga mtu kisa usaliti wa mapenzi

pole sana mkuu...ulikosea sana kumpiga..Tatizo sio yeye, ni wewe kajirekebishe uwe fresh uwe unasimamia show vizuri 6 kwa 6
 
Mkuu ulipiga sana mastaB?
Mkuu ulishafanya ile mtandao 0712? Team vibamia?
Pole fanya mazoezi hiyo ni aibu. Ingawa hqkustahili kukudhalilisha to that extent.

Nb usimielewe vibaya ukweli ni kwamba mwanaume yeyoye kama ulishawahi kufukua tope lazima upate hii shida

1. Kwanza kabisa unajuaje kuwa huyu mwanaume alisharuka ukuta? Yaan kwenye tendo ujitutumua sana aonekane anaweza kumbe wapi
2.utumia nguvu sana.
3.na wenye hili tatizo wote vibamia
 
Hahah yaani unampiga mwanamke ambaye by the way ni demu wako aliyekutokea kwa sababu tu 'kacheat'...

Bwana mdogo we tafuta mpenzi Levola tu maana kwa ubovu wako kitandani utapiga wengi...
 
Habari wakuu kwema,

Miezi michache iliyopita kama 7 mpaka sasa nilipata dada mmoja hivi ila nilikuwa na wasiwasi maana niliona kama kanizidi akili maana kapitia vingi nilimkatalia akanilazimisha nikaona fresh so tukawa nae nikampa moyo wangu wote maana nilikuwa sitaki kubanduka kwake nilimpenda kuliko kawaida.

Lakini nilikujagungua mimi ni daraja lake mafanikio maana kitandani honestly nilikuwa siko vizuri nikamwambia ok nitafind tiba ila usifanyie makusudi lakini hakusikia, nikawa nasikia kwa watu mara yupo na nani, sijui anamsindikiza nani nikaona ok sina haja kujibizana nikawa kimya.

Sasa boss wake alisafiri kumbe alikuwa anatembea nae nilishajua hilo ndo maana nikataka kuachana kwa amani hakuelewa akaja kwangu analia sana nikamwambia nenda mana machozi hayasaidii akaenda akarudi na kilio mara mbili nikaona isiwe shida nimsamehe atajirekebisha.

Ila nikasema nitamfuatilia nikamfuatilia nikamuona boss wake anakuja kwako kama saa nne akalala mpaka asubuhi sikutaka kuleta varangati nikachukuka malapa yake nikatupa, sasa huyu msichana anakejeli anajaribu ili kunisumbua nilishauadi nikamuambia ukifanya kitu mbaya nitakufanyia kitu kibaya hutakaa unisahau.

Leo nilipiga pombe kidogo nikamfuta kwako nikampiga simu nikaona anajibu nusu nusu nikaingia mlangoni nikagonga alivyotoka nilimpa kibao moja nikamsukuma nikamwambia kesho nikiona simu yako kwako kwangu nitamuua nikasepa, niambieni wakuu kama nimekosea.

NOTE; I hate being cheated maana sijawahi hata kumsaliti nampa chance kibao kwanini afanye hivyo sasahivi hasira 0%.

Nawasilisha wakuu
Kabla ya kupiga watu makofi ungejenga heshima kwanza, tafuta ile kitu ya kongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom