Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Aendelee na nini sasa wakati demu keshaona shombo tupu hamna kitu wewe unafikiri jamaa angemtoa supu ya mifupani demu angepindua hata kama angekuwa ana malaika wake!Its my friend's story
Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae
huyo mdada hafai kama ana mtu wake kwa nini alimruhusu jamaa aingie kwenye himaya yake?hajui kama amechezea hisia za mwenzie?anajua malipo ya kuchezea hisia za mtu?mwambie huyo mwenzio aende na yeye akamharibie kwa huyo mtu wake ili wawe pasu kwa pasu,kwani inaonekana hayuko siriasi na uhusiano wake.
^^
Wakati mwingine watu wa aina hiyo hawahitaji ushauri..ni kumwasha vibao tu

Aendelee na nini sasa wakati demu keshaona shombo tupu hamna kitu wewe unafikiri jamaa angemtoa supu ya mifupani demu angepindua hata kama angekuwa ana malaika wake!
Its my friend's story
Anafanya kazi kwenye shirika moja la pensheni, wakati anaanza kazi mwaka mmoja uliopita, walianza kazi na dada mmoja ambaye walitokea kuzoeana, baada ya muda jamaa akapiga sound kama kawaida dada akakataa kata kata baada ya jamaa kuinsist sana dada akamwambia ana mtu wake. Sasa last weekend jmosi huyu kaka akamkaribisha kwake dada akampikia na baada ya hapo wakawa wanaangalia movie basii jamaa akachombeza akala mzigo.Sasa j3 asubuhi dada akamtxt akamwambia. Asahau kilichotokea jmosi kwasababu anamtu wake.Sasa tunamshauri vip? aendelee ama aachane nae
^^
Wakati mwingine watu wa aina hiyo hawahitaji ushauri..ni kumwasha vibao tu
^^
Hii ni wazi kuwa jamaa alichemsha kama angegusa pale wanapozimiaga kila wanapo guswa demu angerudi bila kuitwa kifupi hakumshughulia ipasavyo