Ushauri: Nimepata mwanamke wa kipogoro

Ushauri: Nimepata mwanamke wa kipogoro

Write your reply...achana na hao mademu wa hill kabila ni watu wa hovyoo kabisa anaebisha afanye kuni quote ***** aone maana napenda ugomvi kuliko kula
 
Write your reply...baada ya kutoka kifungoni nimejikuta napenda ugomvi ngoja nitafute wa kuhiingilia
 
Kwa zamani ulikuwa ukisikia wanawake au wanaume wa kabila fulani wana tabia fulani ilikuwa nadra sana kuona mtu huyo anakuwa tofauti sababu wengi wanakuwa wanazaliwa na kukua mazingira hayo hayo hivyo inakuwa vigumu sana kwa mtu kuepuka kuwa na tabia fulani za watu wa kabila hilo au maeneo hayo...Ila sasa maisha yamebadilika, watu wanachanganyikana sana na wengi wametoka maeneo yao ya asili na kwa rika kuanzia miaka ya 95 watu wengi makabila yamebaki majina tu ila hakuna lolote wanalolijua juu ya makabila yao...unaweza kukuta mgogo ana tabia za kichaga au mzaramo ana tabia za kihaya hii inatokana na mtu kakulia mazingira gani. So kum-define mtu kwa haraka haraka kulingana na kabila lake kwa vizazi hivi unaweza kupata majibu tofauti na uhalisia wake kikubwa muangalie mwenyewe ana tabia zipi kwenye mambo mbali mbali..mf katika shida, katika furaha, katika mipango mbalimbali, upendo wake kwako, kwa ndugu zako,kwa watu wengine n.k. na hata akiwa na tabia ambayo unahisi mbaya bado una nafasi ya kumrekebisha na ndo maana ya ndoa(kuchukuliana na kurekebishana mapungufu kwa upole)...kama ilivyo kwa nishati ya umeme kuzalishwa na +ve na -ve charges ndivyo na ndoa lazima mtakuwa na tabia zinazokinzana tu kwa baadhi ya mambo issue ni kujua namna ya kuhandle...Mwenyewe kila siku majanga.
 
Namba 4 kweli
Nimesoma na kuishi Mahenge/Ulanga - Morogoro kwa Wapogoro, nilijifunza haya;

1. Wanapenda sana wali samaki, hakikisha una gunia la mchele ndani.

2. Hawaachanagi na waume zao wa zamani, yaani wakikutana tu lazima waliamshe dude.

3. Bint na mama yake huwa ni marafiki sana, wanaume wote wa nje hupitia kwa mama ili kuendeleza Penzi.

4.Ukimuoa kila mwezi atadai kwenda kwao kusalimia ilimradi tu akajimwambafai kwao na kwa waume zake.

5. Wanaamini sana kwenye ushirikina, wanawawekea limbwata waume zao na kuwapumbaza akili ili wasahau kwao na ndugu zao.

THANK ME LATER
 
Unaulizia ulizia ukabila tu!! Kwani unataka kutambikia??
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisoma Kwiro?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom