Ushauri: Nimepata mwanamke wa kipogoro

Ushauri: Nimepata mwanamke wa kipogoro

Ila mie kuna sifa moja niliisikiaga ya wanaume wapogoro, sijui ni kweli [emoji3][emoji3]...hamjatulia ,macho juu juu
Mimi ni mpogoro pure hao viumbe nawajua nje ndani,
Sikufichi demu wa kipogoro utaishi nae kwenye hali yeyote ya maisha shida na Raha
 
Mimi ni mpogoro pure hao viumbe nawajua nje ndani,
Sikufichi demu wa kipogoro utaishi nae kwenye hali yeyote ya maisha shida na Raha
Halafu kwa nini vijana wa kipogoro wanatabia ya kuomba ela watu njiani utawakuta maeneo ya wami kambarage bar wanaosha magari wanalewa au pale ofisi za abood wamesimama ukipita tuu wanaomba pale stendi ya mjini ya haice plus wale bodaboda wa chamwino ,sua shida ni nini nimekaa mda mchache nimeona haya

Ni wapogoro maana waluguru wengi wamejificha milimani
 
wapogoro na ofis za Abood wapi na wapi ?
 
Anaweza kua mpogoro lakini kazaliwa na kukulia mwanza. Muangalie mtu wako vile alivyo usifuatishe kabila lake vile utasikia lilivyo.
 
wakuu salamu.

Katika pilika pilika zangu za maisha, nimebahatika kukutana na binti mmoja hivi wa kipogoro.

Nimetokea kumpenda sana, ila sijui historia na tabia za kabila lao likoje.

Kwa mwenye kujua tabia, desturi, history na mtindo wa maisha ya kipogoro naomba anijuze please.

Huyu mwanamke, nina mpango wa kuishi nae.
Ushauri ni muhimu sana kwangu

Nawasilisha
Nacho taka kukuambia hakuna kabila Bora Tanzania kwamba Hilo ndio lenyewe watu wake Wana kila aina ya sifa nzuri.makabila yote yanachangamoto zake so kama huyo mtu mnapenda mvumiliane tu hakuna binadamu aliekamilika.
 
Halafu kwa nini vijana wa kipogoro wanatabia ya kuomba ela watu njiani utawakuta maeneo ya wami kambarage bar wanaosha magari wanalewa au pale ofisi za abood wamesimama ukipita tuu wanaomba pale stendi ya mjini ya haice plus wale bodaboda wa chamwino ,sua shida ni nini nimekaa mda mchache nimeona haya

Ni wapogoro maana waluguru wengi wamejificha milimani
Ata Vijana wa kabila lako kuna baadhi wako mahala wanaomba,
Maisha hatufanani, Akili hatuwezi kuwa wote sawa.
 
Ila mie kuna sifa moja niliisikiaga ya wanaume wapogoro, sijui ni kweli [emoji3][emoji3]...hamjatulia ,macho juu juu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hiyo siyo sifa ya wapogoro tu ni sifa ya mwanaume yeyote Rijali.
 
Nimesoma na kuishi Mahenge/Ulanga - Morogoro kwa Wapogoro, nilijifunza haya;

1. Wanapenda sana wali samaki, hakikisha una gunia la mchele ndani.

2. Hawaachanagi na waume zao wa zamani, yaani wakikutana tu lazima waliamshe dude.

3. Bint na mama yake huwa ni marafiki sana, wanaume wote wa nje hupitia kwa mama ili kuendeleza Penzi.

4.Ukimuoa kila mwezi atadai kwenda kwao kusalimia ilimradi tu akajimwambafai kwao na kwa waume zake.

5. Wanaamini sana kwenye ushirikina, wanawawekea limbwata waume zao na kuwapumbaza akili ili wasahau kwao na ndugu zao.

THANK ME LATER
No.3 uko sahihi zaidi ya 100%.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom