Ushauri: Nimepata mwanamke wa kipogoro

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
wakuu salamu.

Katika pilika pilika zangu za maisha, nimebahatika kukutana na binti mmoja hivi wa kipogoro.

Nimetokea kumpenda sana, ila sijui historia na tabia za kabila lao likoje.

Kwa mwenye kujua tabia, desturi, history na mtindo wa maisha ya kipogoro naomba anijuze please.

Huyu mwanamke, nina mpango wa kuishi nae.
Ushauri ni muhimu sana kwangu

Nawasilisha
 
Huwa mnatusingizia kuna maneno mengine huwa hatusemi sisi

Ila hayo madai yako yana kaukweli nilijichimbiaga Moro kwa miezi kadhaa nimewasoma wengi tabia zao
Wanaitwa kuku wa kienyeji pamoja na waluguru
Mlevi mmoja alisikika akisema
Unaolea kijiji hapo, hawajui kukataa hao. Hadi wajomba wanakula mzigo. Hawana tofauti na wanyaturu kasoro wenyewe hao ni weusi.
 
Mlevi mmoja alisikika akisema
Unaolea kijiji hapo, hawajui kukataa hao. Hadi wajomba wanakula mzigo. Hawana tofauti na wanyaturu kasoro wenyewe hao ni weusi.
hizi allegations ni nzito sana. Unaweza kuzithibitisha before the court of law ?
 
Nimesoma na kuishi Mahenge/Ulanga - Morogoro kwa Wapogoro, nilijifunza haya;

1. Wanapenda sana wali samaki, hakikisha una gunia la mchele ndani.

2. Hawaachanagi na waume zao wa zamani, yaani wakikutana tu lazima waliamshe dude.

3. Bint na mama yake huwa ni marafiki sana, wanaume wote wa nje hupitia kwa mama ili kuendeleza Penzi.

4.Ukimuoa kila mwezi atadai kwenda kwao kusalimia ilimradi tu akajimwambafai kwao na kwa waume zake.

5. Wanaamini sana kwenye ushirikina, wanawawekea limbwata waume zao na kuwapumbaza akili ili wasahau kwao na ndugu zao.

THANK ME LATER
 
Huwa mnatusingizia kuna maneno mengine huwa hatusemi sisi

Ila hayo madai yako yana kaukweli nilijichimbiaga Moro kwa miezi kadhaa nimewasoma wengi tabia zao
Wanaitwa kuku wa kienyeji pamoja na waluguru
Dah ,aisee..kumbe hilo kabila ndo lilivyo eh? Ahah
 
Back
Top Bottom