USHAURI : Nimempa mimba mwanafunzi

Hyo ni homework ya aina gan mbona mm sijawahi kupewa nilipokua mwanafunzi??
 
Dah ila nyie acheni,,kama hii kitu sio fiction just imagine unaingia kwenye matatizo kama haya...usiseme haiwezekani we are all humans...pia sisapoti kabisa mtu kutembea na mwanafunzi,,,,yaan adhabu yake ni noma,30 years si mchezo kabisa,pole mkuu....pole sana
 
una matusi wewee!!!
 
Hii kitu ishanikositi sanaa kuna mtoto wa kinyamwezi aisee dogo alikuwa anakata kiuno hatariii bahati nzuri nilikuwa na rafiki yangu poti siku ya tukio ndo alikuwa cro wakati jarada linafunguliwa akanipigia sm popote nilipo nisijarub kurud geto nilikimbilia kahama
 
Badala ya kuanza/kutoroka unakuja jf kuanzisha uzi,kuja kushtuka polisi wako mlangoni kwako,
ANGALIZO:Jela sio kuzuri kabisa kama huamini muangalie singasinga Seth na Bilionea Rugemalila walivyo sana,usije sema hukuonywa
Mwambie wakimpeleka jela wakati wakuoga akiangusha sabuni adiokote..
 
daaah ukiwa jela mkeo msahau nae watamfanya kama ulivyomfanya mwanafunzi
 
Aisee babu taratibu akifanya hayo yote atakuwa hai kweli hahahaha BTW nakusalimu kwa herufi kubwa
Nimeipokea salamu yako kwa sauti ya besi.

Akidedi tunakuwa hatuna cha kupoteza na wanetu watabaki salama
 
30 yrs inakuhusu jipange tu kukimbia hizo familia mbili
 
Sasa kama una wife tatizo liko watu wambie akurudishie hiyo mimba umpelekee wife
 


Usalama wa taifa hapa, tafadhali naomba anuani yako au kajisilimishe mwenyewe kwenye kituo cha polisi haraka sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…