USHAURI : Nimempa mimba mwanafunzi


HONGERA.. alaf LUGOLA unajua alisema nini kwa watu wanaofungwa gerezani??
 
Ukubwa wote huo unamuogopa mkeo! Mwambie tu kuwa ana mwenziwe
Nalog off
 

Ushauri mbaya sana huu siamini unatoka kwako aiseee.. kumbe nawe wale waleeeee
duh Mungu aepushe wanawake kupata wanaume kama wewe

Ndio oo😊 kabisaaaa duh 🀧
 
Mchuma janga hula na wakwao..... Komaa tu utatoka tu jela
 
Mnaambiwa hawa wanafunzi ni kuwala jicho pori wewe mkuu umekula K haya sasa tunasubiri uende jela tule mkeo
 
Toa namba ya wife vijana wakusaidie kipindi upo segerea
 
Hivo vitoto vimwanafunzi mnavipendea nini hata havijakua havijakomaa bado? Nabanana na wazee wenzangu mwanzo mwisho
 
Sipati picha ukifika segelea huku ngozi yako ikiwa imenawili tena kwa kesi ya ubakaji na huku una Mke,lazima utamkuta baba wa mtoto huko naye atakupumlia kisogoni,,zaidi lala mbele tena nenda sudani,,usisahau kuacha NAMBA za mkeo ili tumpe ushauri
 
Naomba namba ya mkeo.
 
Kwaushauri huu hakika atakua ameepuka msala.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
jiandae tu kwenda kuzalisha utakachokula...siumesikia baba mwenye nyumba kasema ni lazima mjilishe
 
Mi nilijua kunyongwa kumbe miaka 30 ukitoka utakuta mtoto amekua mkubwa mno
 
Nimeona gari yenye namba inaanzia PT.... Imekatiza mitaa ya huko kwako.


Pia ningekushauri kuandaa ky ya kutosha maana nasikia huko jela sio sehemu salama
 
Andika uzi wa kuwaaga wana jf ndo klicho baki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…