Kama bado changa itoe, mimi mwenyewe yashanikutajamani nisaidieni naombeni akili ya harakaharaka
Nilitegemea utamtafuta shetani aliyekupitia!jaman nishaurini nifanyaje maana naona kama naenda kuozea jela.
hapa nilipo nimechanganyikiwa balaa, eeee Mungu nisaidie mie .
Watamu balaa...japo siku hizi nimeachaHivi wanaume mnaotongoza watoto wa shule huwa mna akili timamu kweli au madishi yameyumba,mwaka jana kaja mdogo wangu kunitembelea ndo kwanza Kamaliza darasa la saba kwa muonekano ana mwili mkubwa