Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

ulishindwa kwenda kulipa hela kidogo umalize hamu yako ukiwa umevaa condom 3 hadi unaingia gizani hivihivi, hata ukiokoka haisaidii.
 
Maisha popote tafuta njia kutokea,Tanzania kubwa,vinginevyo utaozea jela
 
Kwan ulikuwa hujui kaa ni wakusoma?, tafuta dume la mbegu na wew likupe mimba muwe sale sale, ukitoka hapo uheshimu watoto wa watu na ufikilie angelikuwa mwanao au dada ako....nyambafuuuu......
 
huu wimbi unamaana yake unaimbwa hiviii .............''kimbia fasta toka nduki we kimbia,ukianguka ukiumia inuka vumilia...KIMBIA FASTAAA'''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom