Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

Wimbo wa kidume by Benpol ft chidimma uwe maalum kwako naomba uskilize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushauri wangu, ni we kusepa bila taarifa yoyote
 
Sasa utafanyaje mkuu?? Chukulia mfano alietiwa mimba angekuwa mwanao ungechukua hatua gani kama mzazi?? Jibu rahisi ni kuwa sheria itafuata mkondo, basi subiri na wewe mkondo wa sheria ukupitie.
 
Nenda tu... Nenda tu...
Miaka 30 siyo mingi, tena siku hizi wanahesabu usiku na mchana..

Tatizo baindamu wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
jaman nishaurini nifanyaje maana naona kama naenda kuozea jela.

hapa nilipo nimechanganyikiwa balaa, eeee Mungu nisaidie mie .

Mapema kabisa, mcheze movie ya kuwaweka sawa wazazi wake na Mwalimu mkuu, yani jipange hivyo, kinyume na hapo hali yako sijui.
 
Mapema kabisa, mcheze movie ya kuwaweka sawa wazazi wake na Mwalimu mkuu, yani jipange hivyo, kinyume na hapo hali yako sijui.
mwalimu mkuu hapo ndo napaogopa nahisi anaweza nichoma
 
jaman nishaurini nifanyaje maana naona kama naenda kuozea jela.

hapa nilipo nimechanganyikiwa balaa, eeee Mungu nisaidie mie .
Mkuu huo msala bora ujinyonge ufe uozee aridhini ,kuliko kuozea jela utanuka wewe Hakuna atakae kusogelea ndugu yangu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom